Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

Eti jamani...
Mimi hata nikiwa na Laki Baby akanipa elfu 10.. Nafurahi, Namshukuru...na hapo sijamuomba...

Sasa Mwanaume unasubirije hadi Mwanamke wako aanze kukuomba omba hela surely!!!
Hapo sasa
Babe anakufungashia pad,chocolate,underwear,matunda n.k
Kesho na mie lazima nimchukulie kazawadi
Sasa hawa wanataka kuto...ba halafu wasihudumie mxiiu
 
Sasa vitu vidogo kama hivyo kwenye Mapenzi vina raha yake sana....
Mwanamke anaweza asiombe... ila ukimletea bila kuombwa inapendeza sana
Nimezungumzia mwanamke anaye omba pesa ya pad, huyo kuanzia breakfast hadi dinner ni jukumu lako, nguo, house/room rent hadi vocha, hata kama pesa ipo inachosha.

Kikubwa wanawake wapambane, vijana sasa hivi hawataki mizigo. Suala la mahitaji madogo madogo hata mwanamke anapaswa kumletea mwenzake walau mara moja moja. Dunia imewapa kipaumbele sana wanawake kwa sasa tumieni nafasi.
 
Hapo sasa
Babe anakufungashia pad,chocolate,underwear,matunda n.k
Kesho na mie lazima nimchukulie kazawadi
Sasa hawa wanataka kuto...ba halafu wasihudumie mxiiu
Sasa Mimi nikununulia pads kazi ya wazazi wako itakuwa gani?
Vipo vitu ambavyo naweza kukusaidia navyo Lakini vingine Kama hilo la pads hapana kwa kweli
 
Usisahau pia wakati huo ukiwa unamtest, sisi tutakuwa tunamla.
 
Kwa mwanaume kamili haombwi anatoa mwenyewe...Sasa ukiona unaombwa ujue hujiongezi....au basi unataka nikuombe nini??
Dada usiwe na mindset ya kusaidiwa na mwanaume katika kila jambo, jipambanie walau basic needs ziwepo, ukishakuwa na basics hakuna mwanaume atakudharau wala kukutumia, njaa inadhalilisha.
 
Sahihi....
Ila sasa kwanini mtu anataka kuwa na Mwanamke ambaye hana uwezo naye...

Mwanamke hata kama ana hela yake.. ..hela ya Mwanaume wake anaitaka pia....
 
Wanawake wengi wana hii mindset. Ndio maana wanaishiwa kupigwa miti na kupigwa chini
Ni kama ninyi mnavyosemaga ukiona mwanamke hakupi 'k' muda wowote unaotaka ujue hakupendi kwamba lazima kuna mwamba anampa muda wowote anaotaka, sasa na wao wanatembea mule mule kwamba ukiona mwanaume hakupi hela muda wowote unaotaka ujue hakupendi na lazima kuna mwanamke mwingine huko anampa muda wowote anaotaka, uzuri huwa mnasema wenyewe hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja so wala msiwalaumu wanawake
 
Wavulana wa Dar ndio maana mpo busy kujifananisha na wasichana wenu,
Ujinga ujinga tu.
UWABATA

Wanawake chomeni mihogo, samosa, chapati, kababu, viazi, vitumbua uzeni mpate Pesa msipende Pesa za bure mseleleko kutoka kwa wanaume

Haufanyi kazi yoyote kutegemea Pesa ya Mwanaume tu, zama zimebadirika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…