Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

Kila ukiombwa pesa Sina,!!we ni john cena
 
Hapo kwenye kutop up hapo ndyo mada ya leo mkuu...vijana wanakwepa kabisa suala la top up
Nyie mnataka mlishwe, mvishwe, mlipiwe kodi. Hivi kijana ameanza tu ajira yake, badala ya kujiwekeza atoe kwa mtu hana future nae kweli?

Hiyo kazi tuifanye sie wazee walau inamake sense, ila kqa kijana mwenye kujitafuta, huwa nawaambia waache huo ujinga, hata huku mtaani nawaambia sana. Don't bribe for sex, mkifanya yenu mpe asante, inatosha.
 
  1. Ukiona anaanza na maneno kama dear, baba, my sweet, baby and the like ujue waenda kamuliwa upepo
  2. Ukimwambia huna akakaa kimya then ukimuuliza akakujibu sina hela ya kujiunga nikujibu msg jua hilo tego
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hadi nimeogopa kumuita mtoto wa mtu dear[emoji16]
 
Anakudanganya huyo

Wanaume sio wazembe hivyo.

Kua makini dada, JF kuna huyo jamaa na Twitter kuna Vunjabei

Unabidi uwe makini hao watu wanawaponza sana dada zetu siku hizi.
Mkuu hakuna wanaume wanaohudumia vizuri kama nyie mnaokataaga ila ndio uhalisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…