Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

NAKAZIA

Kinachotokewa ni ya uchakavu hatuweki kambi hapo
Tena hii kampeni naiendesha hata huku uraiani, vijana wawe makini sana. Habari ya kutoa huduma kwa mtu wa leo na kesho ife. Nikitoka na demu out, tutakula na kunywa, nitalipia lodge na usafiri, tukimaliza mambo yetu niakupa asante, that's it. Hapo katikati asinitafute kwa issues zake za kiuchumi coz tulishamalizana.
 
Upendo wa mtu utauona, sio mpaka mpimane.

Ukiona umefikia hatua ya kutaka kupima upendo wa mwenzako, basi tambua haupo sehemu sahihi.

Upendo sio Siri, kusema ni mpaka uweke mitego ili uuone.
 
Biashara gani sasa hiyo wakati bidhaa una baki nayo wewe muuzaji?

πŸ˜€ πŸ˜€
 
Bure haipo, haijawahi kuwepo ila huduma kwa mtu hamna lolote kesho ni upotevu wa mali na akili.

Hayupo aliyetajirika kwa kuhonga wanawake, zaidi sana ni kuhesabu hasara tu, ila asante baada ya kupata "haki ya msingi" ni muhimu sana, kufanya utelezi uwe wa kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…