Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

mapenzi yana mambo mengi sana hela ni sehem ndogo sana katika mapenzi bro, mwanamke ambae hakupendi ila anataka kunufaika kupitia wewe utafeli sana ukimpima kwa pesa , wanawake siyo wajinga anaweza kukuvumilia kwa majibu yako kuwa huna pesa ilimradi tu awe na uhakika unazo kwa malengo ya mbeleni ili ukishamuamini ndo akuonyeshe makucha.
 
Wengine tunapendewa pesa, ukileta hizo unaachwa kweli
[emoji1787][emoji1787]

Kwenye mapenzi. Upendo lazima uwe na Sababu. Inaweza kua Pesa, Uzuri, Umaarufu Ucheshi au chochote ila ndo kimemvutia mtu aamue kukupenda.

Hamna kosa wanawake kutupendea heal nyie tupendeni tu.

Japo kwa mm hua na notice mapema kabisa kama hii lisi ni gold digger they najitune according chapu na maisha yanaenda bila makelele
 
Huu ujinga sijui utawatoka lini, hivi mwanaume asipokupa hela yake anakuwa amevunja sheria ipi kikatiba? Huu ujinga wa kutumia wanaume ndio unawapaga kiburi hata ya kuwa na mabwana 6 kwa mpigo sababu mnafaidika zaidi na mahusiano kuliko hata uwekezaji mnaofanya.
Hela ya Mpenzi tamu bhana weeee.....
Hata msemeje... tunaitaka kwa kila namna....
Muwe hai, muwe mauti...
 
Upendo wa kweli hauna conditions kwamba lazma upewe hela ndio upendwe au uwe na mali ndio upendwe. Ujinga wa sikuhizi bila kuhonga unakuwa eti haumpendi mwanamke.
Imagine..
Kuna kama sie hapa hatuombangi[emoji1]
Ila utasikia tu ki'message hichoo...Imedhibitishwa....

Sasa Wanaume wa hivi si ni wakuwaombea mchana na Usiku jamani....
 
Back
Top Bottom