Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
mapenzi yana mambo mengi sana hela ni sehem ndogo sana katika mapenzi bro, mwanamke ambae hakupendi ila anataka kunufaika kupitia wewe utafeli sana ukimpima kwa pesa , wanawake siyo wajinga anaweza kukuvumilia kwa majibu yako kuwa huna pesa ilimradi tu awe na uhakika unazo kwa malengo ya mbeleni ili ukishamuamini ndo akuonyeshe makucha.