Elfu kumi?? Kama hutengenezi elfu 25 na kuendelea usikaribie mwanamke kabisa.Mke sio demu kama unaona kabisa kipato chako nichakuunga unga huna uhakika wa kumake elfu kumi kwa siku usioe usijekuwatesa watoto na mkeo bure.
Huyo anasema bila 10k, mwingine atasema bila 20k na mwingine bila 100k. Ukisema usikilize kila mtu hutafanya mipango yako.Namnukuu ERoni sometimes maisha tuna ya complicate Sana, wenzetu wana jazana mimba kisha mdogo mdogo life lina Songa.
tena wengi walinzi, wauza duka, mabucha.
Mlinzi wa kijiwe Chetu ana lipwa 170k kwa mwezi na kaoa watoto 3, mimi ndio kwanza sifikirii hilo.
naam, sema nita oa 2028Huyo anasema bila 10k, mwingine atasema bila 20k na mwingine bila 100k. Ukisema usikilize kila mtu hutafanya mipango yako.
baMtu labda ukiizidisha mara kumi hapo nitaweza kukuvumilia huku unafight mpaka kipato kikae sawa!maMtu Binti wa zamani buku 10k itatosha kweiii