Akili kubwaSuala la kuoa naona linaangalia utayari tu wa kiakili kati yenu wawili. Kuna watu wana vipato vidogo sana ila wana wake na watoto na siku zinasonga. Ukimpata mnayeelewana oaneni hakuna tatizo. Ila kwa nyakati tulizopo ni vyema wife naye akajishughulisha na kuingiza kipato hata kidogo.
Mbona unatutisha mkuuWe oa utatupa mrejesho , na ukianza kuongea barabarani pekee ako ndo utajua kwanini
Kama kweli vile sawa sawaSiku 10k haijapatikana unazunguka nyuma ya nyumba unashusha maparachichi yako matano tu siku imeisha