Hhahaha kwamba niko kwetu kwli?? afu niwashauri msioe kweli aya bnok ni hivi mtu analipwa 170k per month na ameoa,
kwa siku ni kama 5.7k na maisha yanaenda vizuri tuu mdogo mdogo mara kafungua kabishara flani after period of some years yupo kuleee mambo ni ufundi kama wajina wangu robhino,
BROTHER Maisha ni hesabu si kipato. SIKU UKITOKA KWENU UTAELEWA KUPATA HUO UCHUMI WA 10K DAILY MWAKA MZIMA UPOJE
Kufikiria kuoa ili hali huna kazi ni upungufu wa akili kichwani😁Sasa unakutana na washamba washamba wanakimbilia kuwowa na hata kipato hicho hawana ukiwauliza wanasema mke anakuja na baraka zake..
Ndo mana na sisi tuna toka.na hao wake zao maana unakuta show kali demu haelewi unazani anafanyaje..
Anakuta kijana hapa nafanya kazi kiwandani sina cha maana wala.nini ila vocha vocha sana tu.. weeeeh lazima akutunuku na akikupa saaa unakutana na mimi PB aiseee nakiwasha kiasi ambacho..... Kwanza kiufupi mi napenda kukiwasha kuliko kufanya kazi
Wengi wanakuaga wale wafia dini...Kufikiria kuoa ili hali huna kazi ni upungufu wa akili kichwani😁
utagongewa tu na wenye ela😁Suala la kuoa naona linaangalia utayari tu wa kiakili kati yenu wawili. Kuna watu wana vipato vidogo sana ila wana wake na watoto na siku zinasonga. Ukimpata mnayeelewana oaneni hakuna tatizo. Ila kwa nyakati tulizopo ni vyema wife naye akajishughulisha na kuingiza kipato hata kidogo.
Ilikuwa zamani sio saiv kwahiki kiazi apn niende daily kiwandani kazi ngumu unalipwa buku tatu mke ankusubiri matumizi kodi oyaaahKuoa na kuolewa imekaa kifikra zaid na sio Kwamba una hela ua hauna hela kiasi gani.
Unaweza ukaoa ukiwa unapata elfu 5 kwa siku alaf mke akakupa utulivu wa moyo na maisha na ukajikuta unapanda had ufikie lai moja kwa siku.
Its Mindset. Na sio hela.
Familia zetu hizi za kibongo mama mkwe nikuomba hela kila siku mtoto wake nae anahitaji ahudumiwe bado tena na wewe mzazi wako anataka umuhudumie asee usioe tafuta ela tuUkishafika miaka 28+ . Tulia na oa.
Haijalishi una au hauna kipato kias gan. Kwasababu utaoa yule ambaye unampenda na amekuelewa na hali yako.
Sasa ww jidai had upate hela ndio uoe. Unakuta unatimiza miaka 35.
Una msululu wq wanawake. Hujui hata uoe nani. Una watoto pia.
Mahitaji meng.
Majukumu ya kumudu maisha ndio yanazidi kukusonga.
Unaweza kujikuta hauoi. Na unaishi na mtoto wa mtu . Vuta nikae ili kupunguza ukali wa maisha.
Na majukumu yanakuwa ni yale yale sawa na kuoa.
Unajisifia ngono tena na wake za watu?! Idiot🚮Sasa unakutana na washamba washamba wanakimbilia kuwowa na hata kipato hicho hawana ukiwauliza wanasema mke anakuja na baraka zake..
Ndo mana na sisi tuna toka.na hao wake zao maana unakuta show kali demu haelewi unazani anafanyaje..
Anakuta kijana hapa nafanya kazi kiwandani sina cha maana wala.nini ila vocha vocha sana tu.. weeeeh lazima akutunuku na akikupa saaa unakutana na mimi PB aiseee nakiwasha kiasi ambacho..... Kwanza kiufupi mi napenda kukiwasha kuliko kufanya kazi
Basi tuseme mi nakula mishangazi mkuuUnajisifia ngono tena na wake za watu?! Idiot🚮
😊😊 kwa siku laki moya eehbaMtu labda ukiizidisha mara kumi hapo nitaweza kukuvumilia huku unafight mpaka kipato kikae sawa!