miana amor
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 966
- 1,495
Wewe endelea kukaa uko ukiji mjini utachanganyikiwa😂😂Bush maisha smple sana ukilima gunia 2 tu unakula mwaka mzima na mkeo, mboga majani yanajiotea shambani ukitaka unachuma mlenda unaanika unajipimia mwaka mzima unaukologa, sema stalehe za hovyo ndo zinatuweka mjini.