Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Ni kweli mkuu sema humu za kuambiwa changanya na zako.Huyo anasema bila 10k, mwingine atasema bila 20k na mwingine bila 100k. Ukisema usikilize kila mtu hutafanya mipango yako.
Ni kweli mkuu sema humu za kuambiwa changanya na zako.Huyo anasema bila 10k, mwingine atasema bila 20k na mwingine bila 100k. Ukisema usikilize kila mtu hutafanya mipango yako.
Aiseee ww ni kijana wa hovyo kabisa😂Unaambiwa hawa wenye matrako makubwa na mwili huoo yaani ndo wenyewe maana kadri unavyoyakunja ndo na pochi la pesa linaongezeka kuna mmoja aliwahi nambia hivi.
"" Kijana an kwa hii show sina haja na gym tena walaah we mtoto utakuja kuniua"""
Huwa nacheka tuu nasema we subiri nijifinze style mpya nije nikutoe mafuta hayo ila mi nainjoi sana hawa watu sana sana sana tuuu
Aisee nikataka kushangaa malaika anataka kwenda kuishi kuzimu kumbe unamipango yako kabambe!...Kijijin utaishi ww uku mjini utaleta tu iyo mifugo
Tafuta mwenye kipato kidogo mwanamke akikuzidi hela ni changamoto sanaNa anae Olewa awe na kipato kwanzia sh.ngapi au ndo tunatakiwa kuoa wasio na kipato ili watutese tuzeeke mapema tufe haraka tuwaache wamenenepa kama tembo vijana wawaite mashangazi ☹️
Atakuvumilia mwisho wa siku atakuchoka tu utaanza kugongewa tu tafuta helaHuu uzi umeniriza kwa uchungu sana yani masikin tunazaraulika sana ipo siku tu ila nashukuru kuna mabinti niwaeelewa Tani wametulia kabisa bila shida na wanatuvumilia na vipato vyetu vidogo
Kaka jambo la kugongewa sio pesa kuna Tahiti mkubwa kijijini kwetu anamiliki hospital I, mgodi wa dhahabu na malori kibao mke wake alikua analombwa na kinyozi nyamaza mkuu tena nyamaza haswa kulombwa na ilikuwa iinajulikana kabisa Yule kinyozi mlala hoi tu na anamlomba Yule mama acha kabisa omba yasikukuteAtakuvumilia mwisho wa siku atakuchoka tu utaanza kugongewa tu tafuta hela
Tofauti ni kwmb wewe utagongewa na wenye ela huyo wakinyozi aligongewa na masikiniKaka jambo la kugongewa sio pesa kuna Tahiti mkubwa kijijini kwetu anamiliki hospital I, mgodi wa dhahabu na malori kibao mke wake alikua analombwa na kinyozi nyamaza mkuu tena nyamaza haswa kulombwa na ilikuwa iinajulikana kabisa Yule kinyozi mlala hoi tu na anamlomba Yule mama acha kabisa omba yasikukute
Huna haja ya kutafuta mi nipo sema tufanye yote ila mama angu asijue maana.Aiseee ww ni kijana wa hovyo kabisa😂
Ngoja na mm nijaribu kutafuta ka kijana nifanye majaribio alf ntaleta mrejesho😂😂
Sema kaka unajijua mwenyewe 🤣🤣🤣🤣The way I love my wife I can't let her carry pregnancy for 9 months yet we have a house girl in our house 😁
mwanamke haridhiki mkuu kwa kifupi achana na huyo kiumbe linapo kuja swala LA kulombwa huwa haangali ni mtu wa aina gani mkuu wazee wetu Wailua maskin tu nahawakulombewa ni tabia ya mtu tuTofauti ni kwmb wewe utagongewa na wenye ela huyo wakinyozi aligongewa na masikini
Hapana mm nataka kijana wa peke angu,ww ni kijana wa wengi😂😂Huna haja ya kutafuta mi nipo sema tufanye yote ila mama angu asijue maana.
Alafu kingine huwa nipo flexible na available....
Siongei sana ila mtafute huyu Binti wa zamani atakuambia zaidi mi ni mtulivu mnoo kama nikipata mtu anayependa mizagamuo
Watu matajiri....mnatengeneza vipi pesa wakuu....baMtu labda ukiizidisha mara kumi hapo nitaweza kukuvumilia huku unafight mpaka kipato kikae sawa!
Oouh.....Hii hii elf 10 ambayo ukikaa vibaya inaisha kabla ya alasiri
Mwakitolyo, mpindimbi, Nangose, kibutuka, Kikungu, Kikoo, Mwendakulima, mahaha, bulindwanoni, Penzi, Mboga, chimala, pawaga, Idodi, Izazi, Chipumpwa, Mwaya etc chagua mwenyewe kimoja hapo[emoji23][emoji23][emoji23] acha basi kijiji gani hiko nikaolewe?
Ngoja niende zangu ChimalaMwakitolyo, mpindimbi, Nangose, kibutuka, Kikungu, Kikoo, Mwendakulima, mahaha, bulindwanoni, Penzi, Mboga, chimala, pawaga, Idodi, Izazi, Chipumpwa, Mwaya etc chagua mwenyewe kimoja hapo
Siku 10k haijapatikana unazunguka nyuma ya nyumba unashusha maparachichi yako matano tu siku imeishaNgoja niende zangu Chimala