Mwanaume kama hutengenezi kuanzia Elfu 10,000 kwa siku usioe

Hata 10 ni ndogo piga hesabu unakaa kimara kazini kariakoo

Mwendokasi kwenda na kurudi 1500

Chai 1000

Chakula cha mchana na maji 3000

Total 5500

Ibabaki 4500 huyo mke nyumbani utamuchia sh ngapi ?
Apo chacha
 
Hhahaha kwamba niko kwetu kwli?? afu niwashauri msioe kweli aya bn
 
Sasa unakutana na washamba washamba wanakimbilia kuwowa na hata kipato hicho hawana ukiwauliza wanasema mke anakuja na baraka zake..

Ndo mana na sisi tuna toka.na hao wake zao maana unakuta show kali demu haelewi unazani anafanyaje..

Anakuta kijana hapa nafanya kazi kiwandani sina cha maana wala.nini ila vocha vocha sana tu.. weeeeh lazima akutunuku na akikupa saaa unakutana na mimi PB aiseee nakiwasha kiasi ambacho..... Kwanza kiufupi mi napenda kukiwasha kuliko kufanya kazi
 
Mi nasapoti waowe tuu..
Unajua ukioa na kipato ni kidogo weww utapata stress ya kutafuta mapesa mpaka utamsahau mkeo .... Hapo sasa ndo anakuja kijana kama vishu mtata ahahahaha anamkamatia mkeo hapo utajua ujuei
 
Suala la kuoa naona linaangalia utayari tu wa kiakili kati yenu wawili. Kuna watu wana vipato vidogo sana ila wana wake na watoto na siku zinasonga. Ukimpata mnayeelewana oaneni hakuna tatizo. Ila kwa nyakati tulizopo ni vyema wife naye akajishughulisha na kuingiza kipato hata kidogo.
 
Ukiona mtu anatetea tetea haya mambo ya kuoa jua hata yeye hali mbaya huko kwake...

😂😂😂😂😂😂 Kama jamaa yangu hapo
 
Kufikiria kuoa ili hali huna kazi ni upungufu wa akili kichwani😁
 
Kufikiria kuoa ili hali huna kazi ni upungufu wa akili kichwani😁
Wengi wanakuaga wale wafia dini...
Daaah hata kama ni imani jamn eeeeeh niacheni 😂😂😂😂😂

Au watasema nishapagawa na ilmu dunya
 
utagongewa tu na wenye ela😁
 
Ilikuwa zamani sio saiv kwahiki kiazi apn niende daily kiwandani kazi ngumu unalipwa buku tatu mke ankusubiri matumizi kodi oyaaah
 
Ukizeeka ndio uje ukumbuke kuoa, ila kwa sasa unataka kuharibu wanawake tu sio!?
 
Familia zetu hizi za kibongo mama mkwe nikuomba hela kila siku mtoto wake nae anahitaji ahudumiwe bado tena na wewe mzazi wako anataka umuhudumie asee usioe tafuta ela tu
 
Unajisifia ngono tena na wake za watu?! Idiot🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…