Mwanaume kama hutengenezi kuanzia Elfu 10,000 kwa siku usioe

utagongewa tu na wenye ela😁
Jomba nafahamu sana kuhusu hilo... nimetoa tu maoni ya jumla ninavyoona jambo hili ila kwa upande wangu binafsi nina msimamo usiotofautiana na wako... mtu mwenye kipato duni aweke focus kubwa zaidi kwenye kujiinua kiuchumi kwanza. Wake za maskini wanagongwa mno mtaani... yaani ni balaa na nusu.
 
Ukishafikisha 18 oa tu huu ndiyo muda sahihi
 
Tena upate li shangazi bonge lenye matako makubwa😂😂
Unaambiwa hawa wenye matrako makubwa na mwili huoo yaani ndo wenyewe maana kadri unavyoyakunja ndo na pochi la pesa linaongezeka kuna mmoja aliwahi nambia hivi.

"" Kijana an kwa hii show sina haja na gym tena walaah we mtoto utakuja kuniua"""

Huwa nacheka tuu nasema we subiri nijifinze style mpya nije nikutoe mafuta hayo ila mi nainjoi sana hawa watu sana sana sana tuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…