Mwanaume kama hutengenezi kuanzia Elfu 10,000 kwa siku usioe

Kipato changu ni sh 5000 nimeoa na maisha nayamudu vilivyo. Kuna watu wanalipwa mishahara 800k yupo single lkn mwezi pesa haitoboi. Tuache fikra potofu, tunaishi maisha tofauti. Huu ushauri haujazingatia itifaki.
 
Akili kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…