Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Kutokana na msukumo wa jamii na hali ilivyo mwanaume kukosa mtoto ni huzuni zaidi kuliko ilivyo kwa mwanamke. Karibu kwenye mjadala
Pressure za kijamii kwa mwaume ni kubwa kuliko mwanamke. Jamii imejenga notion ya kumbeaba mwanamke wakati kwa mwanaume wanakuwa ruthlessKutokana na msukumo wa jamii na hali ilivyo mwanaume kukosa mtoto ni huzuni zaidi kuliko ilivyo kwa mwanamke. Karibu kwenye mjadala
Bora mkuu umeongea ukweliTena siyo huzuni tu ni aibu pia
Sawa mkuu😅Ukiishi kwa kufikiria watakuonaje utateseka sana... Mimi ningekua sina watoto nisingejali jamii inanionaje
Em amua mkuu😅Kama yeye mwenyewe ameamua asitafute?
Madhara ya kukimbia shuleWanaume vs wanawake, mentality ya kujilinganisha/mashindano. Kwanini usingesema hio title bila kuweka "kuliko mwanamke".
Anyway, mwanaume unakosaje mtoto kwa mfano, hata kama husimamishi idumbukize hivyohivyo kojoa pata mtoto.
Mie mbona sina ata wakusingiziwaKwani we unabeba mimba?? Chukua yeyote huko awe wako.
Mwanaume unakosaje mtoto hata wa kusingiziwa?? Labda uwe hudinyi kabisa ila hata ukiwa wa sekunde 20 kama mzabzab huwezi kosa hata wa kusingiziwa.
Unachapa pisi za kimboka, zinakunywa p2 kama dozi hizoMie mbona sina ata wakusingiziwa
Kama imeshindikana kupata mtoto kabisa nenda kituo watoto yatima adopt mmoja chukua kale kachanga kabisa ukalee toka chini kabisa hakika utakua una feel zile hisia za mzazi na utampenda huyo mtt kama mwanao kabisa!Kutokana na msukumo wa jamii na hali ilivyo mwanaume kukosa mtoto ni huzuni zaidi kuliko ilivyo kwa mwanamke. Karibu kwenye mjadala
😀😀😀Unachapa pisi za kimboka, zinakunywa p2 kama dozi hizo