Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Swali zuri sana., tukipata hizi takwimu uenda tukapata mwangaza.Kwani Takwimu za wanaume wanaosaka watoto na wanawake wanaosaka watoto zinasemaje??
Swali zuri sana., tukipata hizi takwimu uenda tukapata mwangaza.Kwani Takwimu za wanaume wanaosaka watoto na wanawake wanaosaka watoto zinasemaje??
Kaka huogopiii gonjwa kuuNianze kuuza mechi sasa mfululizo ila UTI haitoniacha salama.
Sasa wewe unakula maafisa utramu, mtoto utapata wapi km sio kuzawadiwa yutiayi 😹😹Mie mbona sina ata wakusingiziwa
Jamii ninayo toka...mtoto, awe wa kike ama wa kiume...ni muhim Sana kwa Maisha ya mama yake....Kutokana na msukumo wa jamii na hali ilivyo mwanaume kukosa mtoto ni huzuni zaidi kuliko ilivyo kwa mwanamke. Karibu kwenye mjadala
Naogopa sana mkuu linatishaKaka huogopiii gonjwa kuu
Ni kujifariji tuu huku mkuu. Lakini uhalisia hata yeye mtoa mada anaujua.Swali zuri sana., tukipata hizi takwimu uenda tukapata mwangaza.
Unaripoti kutoka kijiwe ganI mkuuMkapa hakuwa na Mtoto ww unasemaje
Swali zuri sana., tukipata hizi takwimu uenda tukapata mwangaza.
Kwani Takwimu za wanaume wanaosaka watoto na wanawake wanaosaka watoto zinasemaje??
Uti wanapata deliboloz sie vibamia hatuchokonoi deep sana mpaka kupata hiyo uti.Sasa wewe unakula maafisa utramu, mtoto utapata wapi km sio kuzawadiwa yutiayi 😹😹
Tuwe makini tuNaogopa sana mkuu linatisha
Hakika umakini n muhimuTuwe makini tu
Siyo kweli wote wanaumia ila haswa mwanamkeKutokana na msukumo wa jamii na hali ilivyo mwanaume kukosa mtoto ni huzuni zaidi kuliko ilivyo kwa mwanamke. Karibu kwenye mjadala
Mkuu hivi ulifikaga la 7 kweli? Niajabu kama ulifika na hujui matumizi ya zaidi na kulikoUNonsense kwamba wanawake hawanawa? Hizi ni fikira potovu kabisa usije simama kwenye hadhara ukasema hayo