Mwanaume kukosa mtoto ni huzuni zaidi kuliko mwanamke akikosa

Mwanaume kukosa mtoto ni huzuni zaidi kuliko mwanamke akikosa

Ngoja ninukuu Sehemu ya utafiti huu.

"Taarifa za utafiti huo ulioongozwa na Robin Hadley, wa Chuo Kikuu cha Keele, ukishirikisha wanaume 27 na wanawake 81, ambao hawajapata mtoto, uliwasilishwa mbele ya Wanasaikolojia wa Taasisi ya British Sociological Association, ya Uingereza."

>>Sasa mkuu sample size ya watu 27 ndio ya kuja kujenga hoja kwa Jamii nzima??

Pili mimi sijauliza kuhusu wanaume/Wanawake kupata maumivu au kutopata,, mimi nimeulizia Takwimu za nani anaonekana katika jamii anahangaika zaidi huku na kule kupata watoto??
 
Ngoja ninukuu Sehemu ya utafiti huu.

"Taarifa za utafiti huo ulioongozwa na Robin Hadley, wa Chuo Kikuu cha Keele, ukishirikisha wanaume 27 na wanawake 81, ambao hawajapata mtoto, uliwasilishwa mbele ya Wanasaikolojia wa Taasisi ya British Sociological Association, ya Uingereza."

Pili mimi sijauliza kuhusu wanaume/Wanawake kupata maumivu au kutopata,, mimi nimeulizia Takwimu za nani anaonekana katika jamii anahangaika zaidi huku na kule kupata watoto??
Bila kuzingatia takwimu au utafiti kwa sisi wanaume huwezi kujitokeza mbele za watu ukasema huwezi kumpa mwanamke mimba ni aibu kwahiyo hata kama mtu anashida hiyo hawezi kusema kwasisi wanaume tofauti na wanawake kwao sio aibu
 
Unajua bado sijui unazungumzia jamii gani hiyo!!

Tunawaona na kusikia mawifi wakiwafanyia vitimbi na maneno ya kejeri wanawake wa kaka zao ambao wanakaa tuu hapo nyumbani wanajaza choo.

Ushawahi kusikia Ndoa ambayo haipati watoto kisha Ndugu wa Mwanamke wamjie juu mwanaume kuwa Ameshindwa kumpa mimba binti yao??

And most of the cases but not all Ndoa ikikosa mtoto kisha mume akijiongeza kwenda nje au kuoa mke mwengine anapata mtoto lakini kwa Mwanamke sio rahisi hivyo.

Na ndio mana nikakuuliza Wanaohangaika zaidi ni kina nani??

Na unahisi kipi kinawafanya wahangaike zaidi??
Hueleweki un

And most of the cases but not all Ndoa ikikosa mtoto kisha mume i kwenda nje au kuoa m ke mwengine anapata mtoto lakini kwa Mwanamke sio rahisi hivyo.
Hueleweki unachohitaji mkuu. Relax kisha jibu hili swali. Je umewahi kusikia mwanaume mwenye changamoto ya kukosa mtoto? Kama hukuwahi kusikia kwa namna ulivyo hutaweza kuelewa mada achana nayo.
 
Kutokana na msukumo wa jamii na hali ilivyo mwanaume kukosa mtoto ni huzuni zaidi kuliko ilivyo kwa mwanamke. Karibu kwenye mjadala
Sisi Waswahili hasa wa Pwani tuna msemo wetu, mwanaume hafi mgumba. Ukiwa chovya chovya au ikiwa inasimama tu ukaoa, mtoto hata wa kusingiziwa utapewa.
Ni hivyo tu.
 
Hueleweki un

Hueleweki unachohitaji mkuu. Relax kisha jibu hili swali. Je umewahi kusikia mwanaume mwenye changamoto ya kukosa mtoto? Kama hukuwahi kusikia kwa namna ulivyo hutaweza kuelewa mada achana nayo.
Sio rahisi kumkuta mwanaume tasa. Yaani Mwanaume anaweza asiwe na ufanisi kitandani lakini bado akawa na uwezo wa kumpa Mwanamke ujauzito.

Ngoja nikuhamishe kidogo.

Risk factor za mwanamke kuwa tasa au kushindwa kushika ujauzito kwa Miezi tisa ni nyingi sana.

Matumizi ya dawa za kupanga uzazi kwa Mabinti wadogo kunawaweka Hatarini ,,kutoa ujauzito pia hivyo hivyo.

Lakini pia magonjwa ya uzazi ni mengi kwa Wanawake hasa wa kazazi hiki.

Lakini pia kadri Mwanamke anavyochelewa kupata ujauzito labda kwa sababu ya masomo,,, akishakaribia 30yrs on wards Changamoto zinakuwa nyingi sana na anaweza kushindwa kupata Mtoto kirahisi.

Lakini kwa mwanaume ni tofauti hata akiwa na miaka 45 anampa mtu ujauzito Vizuri kabisa. Hata kama ana kibamia Bado anaweza kumpa Mwanamke ujauzito Vizuri kabisa.

Hivyo prevalence ya wanaume wanaosaka watoto sio kubwa kulinganisha na wanawake labda kama mwanaume huyo awe ameamua kumng'ang'ania Mwanamke huyo huyo alienae.

Japo sio mara zote Mwanamke ndio mwenye matatizo inaweza pia kuwa mwanaume.

Pia mkuu usiedit comment yangu unapoijibu.
 
Kuzaa na kuzalisha sio lazima, ni hiyari.
Kuna maisha nje ya kuwa na watoto.
 
Pressure ipo upande wa pili
1.Ndoa
2.Mtoto
3.Mtoto
4.Mtoto
5.Ndoa
Rudia utafiti wako,
Jana tulikuwa bar wanawake sita wanaume watano
Mabinti umri go 4 hawana watoto kila hawa wawili wana watoto,dada wa kazi wa mmoja kati yao alipiga simu yule Dada baada ya kurudi akalalamika ya haka katoto kangu aisee kanadeka.

Nyuso za wake wanne(4) zilibadilika ghafka na pombe tulikunywa ila ili chungu zaidi kwa wale wengine ikizingatiwa muda na jua limeanza kuzama.Haiko rahisi...

Wanaume ni Bendera ya Chuma 😀😀😀
Tuko hivyo maana hatuna uhakika kama hata hao tulionao ni wa kawetu.😀😀
 
Unajua bado sijui unazungumzia jamii gani hiyo!!

Tunawaona na kusikia mawifi wakiwafanyia vitimbi na maneno ya kejeri wanawake wa kaka zao ambao wanakaa tuu hapo nyumbani wanajaza choo.

Ushawahi kusikia Ndoa ambayo haipati watoto kisha Ndugu wa Mwanamke wamjie juu mwanaume kuwa Ameshindwa kumpa mimba binti yao??

And most of the cases but not all Ndoa ikikosa mtoto kisha mume akijiongeza kwenda nje au kuoa mke mwengine anapata mtoto lakini kwa Mwanamke sio rahisi hivyo.

Na ndio mana nikakuuliza Wanaohangaika zaidi ni kina nani??

Na unahisi kipi kinawafanya wahangaike zaidi??
Kama ikitokea hivyo basi wa kwanza kupata msala ni mwanamke mpaka wakatapopima kujua tatizo ,wananyanyasika kwa kweli kisa hawapati mtoto...Mwanamke kama ni mgumba basi hii dunia ni chungu kwake wala wasikudanganye ,yule Wema wakati anahojiwa siku ile akasema alishakata tamaa ,inaonesha jinsi gani wanaumia.

Niliona wanawake jamii ya kimasai wakipigwa kwa udongo na kinyesi cha ng'ombe na watu tena sehemu ya hadhara ,nikauliza nikaambiwa hao hawazai au wamechelewa kuzaa hiyo ni kama adhabu wanapewa..Huku wanazomewa tena wamezungukwa.

Mwanaume fresh tu sio tatizo sana.
 
Kuna umalaya tu kama umeamua kutokuzaa sasa utafanya nn au na wewe unajiona kama wale wanasayansi wakina issac newton
Mambo yote ni hiyari ,sasa mtu hajapata wewe utamfanya nn? Mambo mengine usilete umuhimu kwenye maisha ya wengine..Dunia ina matatizo sana ..Yeye kazaliwa kama wewe bado unamlazimisha afanye mambo kichwani kwake hawapandi ...Hata mimi nilimuuliza msichana mmoja ana miaka 31 ''kwa nini hana mtoto wala hjaolewa'' sikufichi alihuzunika na kulia sana ,hii nilikuja kuambiwa na rafiki yake hapo dukani wanapouza maana nilifanya utani tu ila kwake ilimuuma ,baadaye alikuja kusema ananichukia sana ...yeye hakupata kabisa na wanaume walitaka kumzalisha na kukimbia tu .
 
Back
Top Bottom