Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 10,999
- 23,540
Nilihisi tu kuna kitu hakipo sawa kuhusu wewe. Sasa mwanaume kukosa watoto ni jambo la kuhuzunisha?
Watoto ambao wakishafika umri wa utu uzima watataka mgao wa mali zako tena na umewalea maisha yote wakikutegemea. Watata ufe uwape mali zako pia.
Watoto huwa ni wa mama,kwa baba wewe macho yako weka kwenye mali zako hizo ndizo rafiki yako wa uzee hadi umauti.
Watoto wakishaanza kukomaa akili tu wewe unageuka adui yao na mama rafiki yao.
Hebu utuambie hapa hasara inayoweza mpata mwanaume juu ya kukosa watoto?
Ma'simp bwana sijui huwa inakuwaje mnajiona ni wanaume kamili wakati maneno yenu yanawaanika wazi kuwa ni dhaifu na sio wanaume kamili.