Uzazi ni swala la kiafya tena Kwa mwanaume hutakiwi kukashifu kabisa swala Hili kabisa kwakuwa hata watoto tulionao wanaweza wasiwe wetu na nishaona kabisa hiiKuna umalaya tu kama umeamua kutokuzaa sasa utafanya nn au na wewe unajiona kama wale wanasayansi wakina issac newton
RIP mkuu kwamba haisimamii au ... Uku tunakimbia mimba watu mna huzuni kweli dunia sio fair....Nina miaka 45 ,sina mtoto ,kwakweli inaniumiza moyo sana
Hongera sana mkuuRIP mkuu kwamba haisimamii au ... Uku tunakimbia mimba watu mna huzuni kweli dunia sio fair....
Nimekuonea huruma apo kula sana vitunguu swaumu bamia na matunda hope utapata pole sana......Hongera sana mkuu
Nimekuonea huruma apo kula san
Thanksa vitunguu swaumu bamia na matunda hope utapata pole sana......
Una njaa wee, kale lunch huko.Kuna umalaya tu kama umeamua kutokuzaa sasa utafanya nn au na wewe unajiona kama wale wanasayansi wakina issac newton
HatariiiiInasikitisha sana
Ukweli unauma si mnajifanya miss independent kuzaa hamtaki kutwa kuendekeza madawa ya uzazi wa mpango na kutoa mimba alafu badae unakuja kusema huwezi kuzaa.. apo ni umalaya tuuu ukweli usemweeUna njaa wee, kale lunch huko.
Mxxxiiiieeew
Em kwendraa huko, nitolee stress zako. LolUkweli unauma si mnajifanya miss independent kuzaa hamtaki kutwa kuendekeza madawa ya uzazi wa mpango na kutoa mimba alafu badae unakuja kusema huwezi kuzaa.. apo ni umalaya tuuu ukweli usemwee
Mwanamme kuishi kwa msukumo wa jamii ni huzuni zaidi ya mwanamme kukosa mtoto. Kimantiki.Kutokana na msukumo wa jamii na hali ilivyo mwanaume kukosa mtoto ni huzuni zaidi kuliko ilivyo kwa mwanamke. Karibu kwenye mjadala
😁😁Em kwendraa huko, nitolee stress zako. Lol
Mkuu me naona mtu akikosa mtoto pysicologically anakua hayupo sawa, thou anaweza pretend yuko sawaMwanamme kuishi kwa msukumo wa jamii ni huzuni zaidi ya mwanamme kukosa mtoto. Kimantiki.
Karibu kwenye mjadala.
Hii ni projection yako, pengine na jamii yako ya karibu.Mkuu me naona mtu akikosa mtoto pysicologically anakua hayupo sawa, thou anaweza pretend yuko sawa