mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Heraaaa! Yaani waziri alikuwa anatoka na denti? Kwa nn alituma watu wachome moto gari? Huyo denti alikuwa anachukua masters, diploma au degree? Nina mashaka kabisa kuwa hakuwa binti, lilikua jimama fulani lililochelewa kuanza chuo, so likawa linajiendeleza. Trust!Kitambo sana na ndio miaka hiyo yetu ilisemekana yule waziri alituma watu wachome moto gari aliyomnunulia mpenzi wake pale UDSM.
Wengine ni ya kwao na wengine wameazima tu ili kuwanasa watoto wa kike.Kwan magari yanakua yao? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna hata sahivi hao mawaziri wanakula Dent, ajabu nn hapo?Heraaaa! Yaani waziri alikuwa anatoka na denti? Kwa nn alituma watu wachome moto gari? Huyo denti alikuwa anachukua masters, diploma au degree? Nina mashaka kabisa kuwa hakuwa binti, lilikua jimama fulani lililochelewa kuanza chuo, so likawa linajiendeleza. Trust!
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Nasemea hao wadada wanaokurupukia wanaume wenye magari, kwan wakiwavulia chupi ndo yanakua magari yao? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi wapende wenye magari lol.Wengine ni ya kwao na wengine wameazima tu ili kuwanasa watoto wa kike.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Swala la Pesa ni Mtambuka...
Mwalimu ana pesa lakini Meneja wa bank anaweza kula mpenzi wake kwa pesa,,
Meneja pia demu wake anaweza liwa na Boda boda,
Bodaboda nae demu wake anaweza liwa na jobless..
Jobless sasa demu wake ndio atachukuliwa na mwenye pesa mbele yake..... then Circle inajirudia..
Hata ukiwa na Pesa vipi bado kuna watu watakuwa tu wamekuzidi,,, na pia wapo utakaokuwa umewazidi... So tafuta hela kwa ajili ya kukamilisha mahitaji yako binafsi na sio uamini hela yako itambakiza Mwanamke..
Kijana jipende, Kula maisha,, Achana na Kuoa..
Kwa Mademu kudate na wenye magari ni ufahari.Wanawake akili zenu mnazijua ninyi wenyewe.Nasemea hao wadada wanaokurupukia wanaume wenye magari, kwan wakiwavulia chupi ndo yanakua magari yao? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi wapende wenye magari lol.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Prestige.Nasemea hao wadada wanaokurupukia wanaume wenye magari, kwan wakiwavulia chupi ndo yanakua magari yao? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi wapende wenye magari lol.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Dunia haiko fair [emoji4]ww umempelekea chips kavu za buku jero mwenzio anamchukua kumpeleka kfc.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Khaaaaaah
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787] umeona eeh!!.Kwanzaa hao wenye gari wanakua wapenzi au danga tyuuh? Wapenzi ni wakaka was chuo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Unayajua maumivu ya mapenzi wewe? Acha kabisa usilete ubishi na kutaka kuazimisha iwe chai.Dakika 30 kasimama anaisindikiza gari kwa macho..acha uongo basi.
Kusimama dakika 30 sikatai..ila kuisindikiza gari kwa macho dakika 30 ni uongo...Unayajua maumivu ya mapenzi wewe? Acha kabisa usilete ubishi na kutaka kuazimisha iwe chai.
Nimecheka sana hahahahahhahahaHata ingekua ni wewe uache kwenda kula vizuri ule chips kwenye mfuko huku umekaa chini....hamna anaependa shida, tena utakuta hata hazikua chips usikute mtoto wa watu alikua analishwa mihogo
Tena ukute mihogo yenyewe imepoaa [emoji3]Hata ingekua ni wewe uache kwenda kula vizuri ule chips kwenye mfuko huku umekaa chini....hamna anaependa shida, tena utakuta hata hazikua chips usikute mtoto wa watu alikua analishwa mihogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa madesa ya kazi gani, na vile wanachuo wanafuliaga wanabaki kula mikate tu kama waisraeli nani anataka tabu!!!!!
Nimecheka sana!!Hata ingekua ni wewe uache kwenda kula vizuri ule chips kwenye mfuko huku umekaa chini....hamna anaependa shida, tena utakuta hata hazikua chips usikute mtoto wa watu alikua analishwa mihogo
Huyu jamaa ni mwandishi mzuri wa story, sijui kawaza nini!!?Dakika 30 kasimama anaisindikiza gari kwa macho..acha uongo basi.