Mwanaume, ukimtongoza mwanamke akakukatalia huwa unachukua hatua gani?


Mie nashukuru nina underage wengi kiasi kwenye circle yangu lakini sina anayeandika namna hiyo

Miandiko ya hivyo inakera kinyama
 
Atajilengesha mwenyewe na kukuonyesha dalili zote,hapo inakua imebaki kazi ndogo tu kwako,nature ya Mwanamke ni vigumu kukutongoza ila kuna dalili tu utaziona.
Narudia tena hivo viumbe havina formula. Unaeza dhani anakupa green light uichape ukijichanganya anakuaibisha mchana kweupe af sio shida zake
 
Mie nashukuru nina underage wengi kiasi kwenye circle yangu lakini sina anayeandika namna hiyo

Miandiko ya hivyo inakera kinyama
Basi ni baadhi, lakini wengi wanaandika hivyo

Hata hapa JF nimeona screenshot nyingi za mawasiliano baina ya me na ke, zikiwa na swaga za hivyo

Hivi ukidate Corporate Woman, anaweza kuandika hivyo unadhani

Standard 🤪
 
Narudia tena hivo viumbe havina formula. Unaeza dhani anakupa green light uichape ukijichanganya anakuaibisha mchana kweupe af sio shida zake
Inaonekana hua unakutana na wanawake wa ajabu sana aisee,

Hebu jaribu kujichunguza,jinsi unavyojiweka,jinsi ulivyo,jinsi unavyoongea kama ni kwa kujiamini au kuonyesha unyonge,nadhani tatizo lipo kwako zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…