MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
- Thread starter
-
- #81
Duh, sawa.Inaonekana hua unakutana na wanawake wa ajabu sana aisee,
Hebu jaribu kujichunguza,jinsi unavyojiweka,jinsi ulivyo,jinsi unavyoongea kama ni kwa kujiamini au kuonyesha unyonge,madhani tatizo lipo kwako zaidi.
Ndiyo,akikubali tu bills mob zinafuata😁Kutongoza ni kualika mtu aje kula hela ? 😊
Starehe gharama kijana,huwezi kutongoza huku mfukoni ukiwa na hela ambayo wewe mwenyewe ndio unaitegemea ulie mihogo na juice ya miwa.Ndiyo,akikubali tu bills mob zinafuata😁
Basi ni baadhi, lakini wengi wanaandika hivyo
Hata hapa JF nimeona screenshot nyingi za mawasiliano baina ya me na ke, zikiwa na swaga za hivyo
Hivi ukidate Corporate Woman, anaweza kuandika hivyo unadhani
Standard 🤪
Dah! Leo kazi ninayo aisee.
Nisije kukosa mjukuu wa kuniletea Kiko bure nikiomba 🤭Levels 😊
Just imagine umemuapproach mwanamke kakubali tu gafla anaanza kukupa bills mob ,mara gesi,kodi, nywele zimefumuka,mama yake anaumwa,vocha ....nkStarehe gharama kijana,huwezi kutongoza huku mfukoni ukiwa na hela ambayo wewe mwenyewe ndio unaitegemea ulie mihogo na juice ya miwa
Ndiyo,akikubali tu bills mob zinafuata😁
sio kukuvulia chupiMtu mzima na akili zake timamu mpaka akubali kukuvulia chupi,lazima uwe na kitu cha kuoffer,
Ama sivyo utaishi huku ukiamini kua wanaume wote hua wanakataliwa kama unavyo kataliwa wewe,
Au nasema uongo ndugu Wananchi?
yupo aise ilitokea 2023/24Mkuu, haijawahi kutokea ukapata mwanamke mkapendana, na mkawa na mahusiano halisi tuu, ukampa mahitaji ya kawaida kama mwanamke?
Ishara Gani dingi😁Mwanamke wa kukubali ombi lako huko mbeleni; utamuona tuu siku ya kwanza. Kuna ishara usipoziona usipoteze muda, wala kumsumbua... move on.
Acha kukata tamaa kirahis ivo, mwanaume kupambania kombeNiende kukunua chakula mgahawani niambiwe chakula hakuna...Sa unataka nichukue hatua Gani km sio kutafuta chimbo lingine?..Acha ujinga😁
Kwenye pesa sio YUTIYAIAcha kukata tamaa kirahis ivo, mwanaume kupambania kombe
Mkuu, tunaishi kwa ImaniIvi mtu unatongozaje sehem unajua hutakubaliwa na unaendelea kunembeleza.
Anyways Mara zote hadi natongoza hua Najua Siwezi kataliwa na nikikataliwa ndio basi Ndioo situdi ni Kama kujidhalilisha kwa upande wangu lakini🙃
Gen z💔🚮😂
sawa endelea kiamini hivo lazima wakudharauMkuu, tunaishi kwa Imani