Mwanaume, ukimtongoza mwanamke akakukatalia huwa unachukua hatua gani?

Unakuwa umeokoa KIBUNDA CHAKO.
 
Huyo anapenda mbwembwe, ni wale wanawake wa sitaki nataka.

Hapo SMS hazitosaidia, muone uso kwa uso. Piga kampeni mzee.
Kitambo iyo mkuu mpaka nishasahau. Ni leo tu imetokea nmekutana na izo screenshot nkasema kumbe unapotongoza pisi inabidi ukaze wkt mwingine tunawapa wakati mgumu kufanya maamuzi so inabidi ukaze yeye ili yeye alegeze
 
Humu kuna member anaitwa mzabzab kwa week anapinduka hata na bebe 10 😂.

Jamaa ni noma ngoja aje soon atakupa hints.

Kama una mwanamke wako akiamua kumfukuzia jamaa hakosi target kila shot imo.

mzabzab njoo umwambie kijana zile martial techniques zako. 😄
 
Safi SANA mkuu
 
Mimi saiv nmestaff iyo mitikasi cha ajabu kuleta huu uzi naambiwa mimi ni underground wkt apa penyewe nina bebe mpaka zingine nazisahau zikinicheki ndo nakumbuka 😂
 
Upo sawa kabisa,kutongoza ni mara moja tu,kisha unapiga kimya,mara nyingi baadae hua wanajileta wenyewe,

Ukimtongoza Mwanamke kwa muda mrefu au kumbembeleza sana,anakushusha thamani na kukudharau,

Mwanamke anapenda mwanaume anayejiamini na aliye juu yake,Mwanaume asiye onyesha unyonge na yupo tayari kuondoka muda wowote ule.
 
Atafutae hachoki
 
Nilichoona humu wengi hamuwaelewi wanawake, wengine hata hamjakataliwa mshaanza kujiona mmekataliwa.

Si wanawake wote wanaokupa jibu ndiyo wengine wanaweza kukataa kabisa ila ukaribu nawe haaachi, una utaona kwenye ishara tu kama kakupa green light hadi siku unakuja kukis anatoa ushirikiano.

Wengine wanakwambia wamekubali kama mlivyozoe.

Kama hataki anaweza asijibu kitu pia na kukuzungusha asiwe na muda nawe kabisa. Unaishia kupoteza muda mwingi. Anakuwa mtu wa kukuonesha red light mara kwa mara, mara hataki ukaribu wala mazungumzo nawe unakuwa wewe ndiyo mlazimishaji kila siku, kama mjanja unajiongeza unajua hapa sitakiwi.
 
Mimi akikataa

Uwa nafuta namba then na l
Mimi uwa sibembelezi

Akikataa tu , nafuta namba na move on.

Alafu natafuta ingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…