Mwanaume: Ukiwa mkristo kabla ya kuoa tafakari sana usikurupuke

Nimekuelewa boss, na tayari nimepata picha ya uhalisia juu ya uhusiano ulio nao kati ya Kanisa na maisha yako halisi.

Ukifika hii stage ni ngumu hakika na inahitaji uwe na moyo mgumu ili kufanya maamuzi yatakayorudisha amani ya moyo wako.

Na maamuzi hayo magumu lazima ukubali kulipa gharama, ikiwemo kuonekana mbaya na mtu asiyetii sheria za Mungu (Kwa mtazamo wao).


Kama umeweza kuitafsiri dhambi ya uzinzi kama dhambi zingine, nina IMANI hayo maamuzi mengine unaweza kuyafanya bila shida yoyote.


Maisha ni yako, uchaguzi ni wako hivyo jitahidi kufanya kitu ambacho unaona ndicho kitaleta AMANI YA MOYO WAKO na kukufanya uishi maisha utakayo bila kujali utaonekana vipi.


Mpaka mwanamke inafikia hatua ya kuchekupa mpaka mwanaume kupata ushahidi siyo ishara salama sana kwako kama MWANAUME.



Kuhusu kulegeza na kuweka ukiasi wa uhusiano wako na kanisa ni jambo gumu, inaonekana dhahiri kwasababu tayari umeshazama.
 
Why all that fuss .......maumivu nipate mimi maamuzi anipe mtu mgine, idont entertain such religious foolery
Maamuzi ni yao kwasababu wewe mwenyewe bila kulazimishwa ulienda kufunga ndoa kwenye kanisa lao zenye sheria zao.
Ungetaka uwe unajiamulia ungejibebea tu mke wako ukakaa nae bila kushirikisha chombo chochote cha sheria ili iwe rahisi kutimuana mkichokana.
Ingawa pia serikali inatambua kuwa ni mume na mke kama mmeishi wote zaidi ya miezi 6 na watoto mmezaa.

Ila pia sio lazima kwenda kote huko unaweza kuachana nae na usifanye chochote maamuzi bado ni yako.

Ukitaka urahisi wa talaka, funga ndoa bomani.
 
Mathayo 5:32 BHN

Lakini mimi nawaambieni, anayempa mkewe talaka, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, anamfanya azini; na mwanamume akimwoa mwanamke aliyepewa talaka, anazini.

Biblia inarusu talaka.
 
keeping up with baba na mama jay!!! kwa hii series ya kumuongelea mama jay daily ni wazi kuwa moyo wako bado upo kwake ni vile tu una machungu ya kugongewa otherwise ungekua umeanza kutupa story za madem zako wapya wapya watoto namba D.

kama unampenda mrudie mlee watoto kama kweli ushaamua kumove basi achana na mawazo yake tupe vitu vipyaaaa
 
mapfrofesa wa saikolojia tunaona baba jay anampenda mke bado, sema tu ana machungu 😁
 
Maajabu ni kwamba mwanamke amekiri mbele yao sema wao wanaforce ni samehe.. Anyway nia yangu ni kubaki na ushirika ikishindikana basi
 
Sio kweli kwamba hutoruhusiwa kuoa tatizo kubwa kwa wakristo ni kutojua sheria za ndoa maana cheti chako cha ndoa ni mali ya serekali kanisa linatoa sakrament ya ndoa kwahiyo kama unataka kuvunja ndoa tafuta ushaid nende mahakamani

Sent from my ONEPLUS A3003 using JamiiForums mobile app
 
Sister nna namba D Nazi saana sema nn mambo ya talaka ndo yananirudisha kumzungumzia mama jay.... Ukicheki tuu apo church namba D zinaningoja kinoma zishaweka hadi booking kabisa
 
Ndo utaratibu wa kanisa naweza ndoa kuivunja ila kanisa halitoshiriki swala langu lolote baadae kama nitaoa nje na kanisa
 
Hapa umenielewa na Mimi nimekuelewa maana Amani yangu ndio usalama wangu na ni mm binafsi wakuuzingatia
 
Kwani lazima usali kanisa hilihilo?hamia zako Pentecostal hawanaga noma wale Tena wanasema ndoa ya kwanza ulikuwa batili unaoa vizuri unaendelea na Maisha yako.
Tatizo ni imani uliyoizoea ila nimeamua ntasali hapo hapo kibishi hata wakinitenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…