Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
- Thread starter
-
- #161
Ili wazo pia ngoja nisishindane naoSio lazima umrudie na sio lazima uoe tena. Endelea na maisha yako, mwanamke lazima atajichanganya tuu mwenyewe( kuzaa, kuishi na mtu nk)
Mbona ka makasiriko dhidi yangu kwani nimekufanya nn??Umeoa malaya deal na maisha yako maana humu wanaume wajf waliniita malaya inaonyesha kuwa haikuwa kweli so Mungu akakupa malaya real
Kidogo sasa sana Mungu amejibu maombi yangu wanaume wa humu wanaringaga sana halafu wanatoka kuoa vilaza halafu wanarudi wakiomba ushauri broz pambana na hali yakoMbona ka makasiriko dhidi yangu kwani nimekufanya nn??
ww si ndo ulokuja kulalamika humu kisa hujapelekwa hospitali au sio ww?Kidogo sasa sana Mungu amejibu maombi yangu wanaume wa humu wanaringaga sana halafu wanatoka kuoa vilaza halafu wanarudi wakiomba ushauri broz pambana na hali yako
Naomba ufafanue hii falsafa mkuu.Kuna falsafa moja huwa naikubali sana! " Ukishapata mchumba kabla hujamuoa,kwanza muoe mama yake" hapo umemaliza kila kitu.Kitakachoendelea ni wewe mwenyewe kusuka au kunyoa.
Roho yakichawi hio.... Anyway wapo watoto namba D na E wanagombania kulea watoto wangu so hainisumbui...Kidogo sasa sana Mungu amejibu maombi yangu wanaume wa humu wanaringaga sana halafu wanatoka kuoa vilaza halafu wanarudi wakiomba ushauri broz pambana na hali yako
Mi mwenyewe kunguru hawezi nizidi mkuuUsipoangalia huyo mwanamke atakuzidi akili utamrudia
Roho atatusaidiaImani ya kikristo ina changamoto nying ambazo ukituliza akili unaona upungufu ulikua nayo
Kwasababu ntabaki na kinyongo nae na ndio mwanzo wa nyumba ndogo ama michepuko mwisho maradhMm ni mkristu lakin kuna mda huo upumbavu siukubari. Maana unaweza kukubari kurudiana nae alaf ukajikuta huyo mwanamke kutokana na tabia zake akazidi kukuweka mbali zaid na Mungu wako.
Nipe andiko!!!Kama unachepuka na yeye anachepuka ,, hauna uhalali wa kumwacha mkeo kabisa... Kubali ukatae huo uhalali hauna kabisa hata uwe hauna dini ...
Yako ya umalaya ndio maana Mungu alikupa wakufanana nawe .Roho yakichawi hio.... Anyway wapo watoto namba D na E wanagombania kulea watoto wangu so hainisumbui...
Nb: simaanishi kufurahia kuvunjika kwa ndoa yangu au mtu yeyote
Sio kinyongo tu, ata kuishi pasipo kuaminiana ni sawa na kuacha milango wazi kumruhusu shetani kuingiaKwasababu ntabaki na kinyongo nae na ndio mwanzo wa nyumba ndogo ama michepuko mwisho maradh
Wakikusikia wenyewe😀Mimi hakuna mpumbavu yeyote awaye mwenye uwezo wa kunizuia kuoa idadi ya wanawake au kuwaacha na kuoa tena, binadamu anauzwa au kuthaminishwa na vitu hana tofauti na mbuzi, kuku etc, butua butua tu. Women are just consumables consume consume until marginal utility.
Mi kanikuta bikra sasaYako ya umalaya ndio maana Mungu alikupa wakufanana nawe .
Maisha ambayo siyawezi kabisa yaan unakuta watu wanaishi vyumba tofauti sa hio ni ndoa au nn?Sio kinyongo tu, ata kuishi pasipo kuaminiana ni sawa na kuacha milango wazi kumruhusu shetani kuingia