Mwanaume ukiwa na pesa wanawake wote ni single

Mwanaume ukiwa na pesa wanawake wote ni single

Hawajui heka heka wanazokutana nazo mabro wao wenye hela šŸ˜‚šŸ˜‚

Ukute tunajadiliana na vijana wa 27/28 yrs. Hawana case study za maana , zaidi ya vitoto vyezao vya shule.

Kuna muda mtu anakuwa na hoja uchwara unabaki unaishangaa tu. Maana haiko applicable kabisa. Kwanza wao wenyewe sio K zote wanapita nazo, lazima waselect.
Ili uwe na case study valid unapaswa kuwa na umri gani?
 
90% ya wanawake huwa wanakuwa single mwanaume akiwa na mtonyo.

Taarifa fupi ni hii.
Mbona mimi pesa ninazo..kazi ipo..uHB na mwili wa kiume lakini kila nikifuata naambiwa yuko double..hata hapa JF kuna mtu nilitaka kuoa kabisa kaniambia yupo na mtu na kanikimbia hajibu hata PM zangu tena
 
Utasemaje unaishi maisha mazuri kama hugegede pisi kali au mwenzetu wee unagegeda range rover, ghorofa na yatch unazomiliki
Kila mtu ana hulka yake ndugu tumetofautiana sana, kugegeda kupo ila sio kipaumbele changu boss.
 
Ila kuzagamuliwa na mtu humpendi eti kisa pesa aaaah, mie mbna siweziiii naona km uhaini wa nafsi yangu

Mtu umpendee na umkubalii, kuna feelings fulaan zinakujaa aaaaah, woiiiiiiiih

Ila pesa tamu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli Kabisa shoss akeee pesa tamu ila mapenzi hisiaaaa!
 
Back
Top Bottom