Mwanaume ukiwa na pesa wanawake wote ni single

Mwanaume ukiwa na pesa wanawake wote ni single

Roho mbaya tuu kumnyima mwanaume mbususu. Ni sawa na mwanaume una hela alafu unamnyima mwanamke hela.
Ah wee utasema kuwa unamuuzia bwana? Kwanza kwa nini unaiita kuuza. Hayo ni majukumu ga geye kuwepo na wewe bwana
Ndio ujue pesa sio kila kitu
 
Pesa imekuwa mungu wetu, kwa sasa wengi tunaiabudu pesa indirectly. Na pesa inatutesa sana wengi wetu, tunafanya mengi kwa jina la pesa ili tupate kile tunachotaka hata kama hicho kitu kinaudhalillisha utu wetu.
 
Inakupa chochote unachohitaji ila sio chochote unachotaka.
Ikiwemo na mwanamke yeyote unaemuhitaji it's a matter of time kwa mwanamke mwenye uhitaji wa Pesa kuangukia kwenye tego la fuko lenye Pesa, ni lecture Pana sana Ila acha niishie hapa
 
Pesa imekuwa mungu wetu, kwa sasa wengi tunaiabudu pesa indirectly. Na pesa inatutesa sana wengi wetu, tunafanya mengi kwa jina la pesa ili tupate kile tunachotaka hata kama hicho kitu kinaudhalillisha utu wetu.
Hata kwenye nyumba za ibada unaanza kutanguliza Pesa mbele kuchangachanga michango ya ujenzi kwanza kisha NENO la MUNGU linafuatia maana bila Pesa mtaabudia chini ya mti wa mwembe au mnazi au mkorosho, Pesa Ina nguvu
 
Ikiwemo na mwanamke yeyote unaemuhitaji it's a matter of time kwa mwanamke mwenye uhitaji wa Pesa kuangukia kwenye tego la fuko lenye Pesa, ni lecture Pana sana Ila acha niishie hapa
Sijapingana na umuhimu wa pesa pamoja na nguvu yake ila kuna wanawake hata uwe na pesa kiasi gani bado utaangukia pua tu na pesa zako? Kumpata mtu kunahusisha vingi msichukulie kama wao hawana chaguzi wala hisia.

Nafikiri hapa wewe unazungumzia wanawake wenye njaa. Ndio maana unataja neno shida
 
Back
Top Bottom