Financial Freedom
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 1,246
- 2,299
Hahahah wewe unaamini mke wako bila wewe atalea watoto vizuri? Una overtrust your woman itakuwa hujaoa most women have a lot of weaknessKwanini mnazaa na wanawake wa hivo? shida ni ya nani ya kwako mzalishaji uaeona kabisa huyo mwanamke hawezi kulea watoto kwa busara na hekima na bado ukazaa nae au? Wanaume tunawalaumu sana wanawake lakini naona kuna mahali tunafeli.