Kwanini mnazaa na wanawake wa hivo? shida ni ya nani ya kwako mzalishaji uaeona kabisa huyo mwanamke hawezi kulea watoto kwa busara na hekima na bado ukazaa nae au? Wanaume tunawalaumu sana wanawake lakini naona kuna mahali tunafeli.
Ww kweli umeoa na nahakika hata ndoa yako haitavunjika.aliposema huyu ndugu yetu neno "toa hisia na wanao nimetumbua macho" sisi wengine kwa ajili ya mwanangu yoyote swala la kuweka uhai wangu Mezani juu ya maslahi yake si mjadala
Wanapambana vita vikali sana na single yeyote akipata mwenza mpya na akamwambia huyu mtoto simtaki,single mom atamwondoa mtoto ampleke kwingine abaki na bwana mpya pata picha ndo mwanao