Ujumbe mzuri
Anyways hivi kwanini Afrika watu maskini wanajiona matajiri wakishiba mihogo
...
watakwambia maskini
tafuta hela ila kamwe hawakwambii utazipata vipi/wao walizipata vipi
...
ukiwa mdogo watakwambia kazana piga kitabu uje kuwa daktari,pilot and some sh*t unakomaa ukishamaliza skuli unagundua it was all a scam, kwanza kuja uipate hio ajira ni kamzozo, wanakwambia jiajiri huku wao hawajajiajiri wameajiriwa, aya unapata ajira pesa ya mshahara ni ya kukusaidia tu familia iende toilet, utajiri haupo kwenye mshahara
...
kiufupi haya maisha ukifata kila unachoambiwa utajikuta unaishi maisha ya watu wengine
...
watu wanabwabwaja wanastress humu ndio pakumwagia nyongo zao, sikiliza maoni/ushauri ila usijilazimishe uishi vile mtu mwingine anataka
...
punguza tamaa za pesa japo pesa ni muhimu ila pesa sio kila kitu usiforce tufanane kwanza wote bongo tunakula ngano/mahindi/mihogo tofauti ni mapishi na vinogesha mchuzi
All in all tutafute hela japo ni shina la mabaya yote (1 Timotheo 6:10)