ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Kweli ww chenga kabisa sasa ndo umeuliza swali gani hili la kipuuzi?Unaongelea wamachinga wa kariakoo wanaouza jezi kutokana China?
Unajua ni maelfu yawatz wangapi walio jiajiri kupitia vibanda umiza vilivyoko ndani ya nchi hii?
Unajua ni maelfu ya wachezaji wangapi walijio ajiriwa na mpira ndani ya nchii?
Unajua pesa wanazo ingiza wamiliki wa vyombo vya usafiri ,mahotel,mama ntilie,wauza vinywaji, wauza jezi, kwa sababu ya mpira?
Unajua kingamuzi cha Azam kinacho rusha mpira kinaingiza pesa ngapi kwenye mapato ya serikali?
Unajua ni wachambuzi wangapi walio ajiliwa kwenye maredio kwa sababu ya mpira?