Mwandishi mkongwe Abdallah Majura, ahoji kuhusu redio kujadili michezo asubuhi

Unaongelea wamachinga wa kariakoo wanaouza jezi kutokana China?
Kweli ww chenga kabisa sasa ndo umeuliza swali gani hili la kipuuzi?
Unajua ni maelfu yawatz wangapi walio jiajiri kupitia vibanda umiza vilivyoko ndani ya nchi hii?
Unajua ni maelfu ya wachezaji wangapi walijio ajiriwa na mpira ndani ya nchii?

Unajua pesa wanazo ingiza wamiliki wa vyombo vya usafiri ,mahotel,mama ntilie,wauza vinywaji, wauza jezi, kwa sababu ya mpira?
Unajua kingamuzi cha Azam kinacho rusha mpira kinaingiza pesa ngapi kwenye mapato ya serikali?
Unajua ni wachambuzi wangapi walio ajiliwa kwenye maredio kwa sababu ya mpira?
 
Kukaa siku nzima mnaitana Kolo, utopolo, dunduka au chura ni uhovyo tu.
Unajua mpira umeajiri maelfu ya watz wenzio kuliko sekta nyingi hapa Tz?
 
hii ni hoja mfu kabisa haina weledi ndani yake
Haina weledi kivipi?
Ya kwamba mtu achukue mamilioni ya pesa awekeze kwenye media alafu ahache kufanya kitu kitakacho muingizia faida ila afanye kitu kitakacho kifurahisha ww ?
 
Tusikilize nini sasa? Siasa ndio mnatupiga mnaaminisha dunia eti Wananchi wote ni Ccm .acha tusikilize michezo mwanzo mwisho
 
Correction:
Hawajadili michezo....
Wanajadili Simba na Yanga mwanzo mwisho......
 
Mwandishi wa habari mkongwe nchini Tanzania, Abdallah Majura amehoji kuhusu radio kuwa na vipindi vya michezo asubuhi na kujadili mambo ya Simba na Yanga.

“Tangu asubuhi watu wanatangaza michezo tu, lakini siamini kwamba Watanzania wote wanapenda michezo tu”

Nafikiri Majura atakuwa anawalenga, Crown FM, Wasafi FM, Clouds Fm na Efm
Hizi redio inabidi zifungwe kwani ziko very useless na wasikilizaji wake wote ni mazwazwa tu, wengi wao ni watu wasio na upeo wa maisha wala elimu. Sioni faida ya hizi redio kuwepo hewani......serikali zifuteni haraka tafadhali.
 
Asubuhi mtu anaanza kusikiliza michezo ukianza na Wasafi, Crown, Clouds, EA Radio, Bongo FM, EFM vipindi vinaisha saa 6 mchana. Halafu hao EFM wanahamia kwenye TV yao sijui kuna yule Dada anaitwa Maongezi kipindi hadi saa 9 mchana. Then kuanzia saa 8 mchana zinaanza mechi za ligi kuu hadi 3 usiku. Baadae unakutana na ligi za Ulaya, EPL, La Liga, UCL, sijui Europa... aiseeh hili taifa sijui kama tutapata maendeleo maana vijana wengi wameangukia huko afu hapo jumlisha na kubeti sasa, bado hawajaanza kubishana kwenye vijiwe na mitandaoni, bado hawajacomment kwenye page za CAF hahahaaaa 😀 😀 😀, hatutoboi!!

Kumbe hali ni mbaya hivi?
 
Hongera mzee wa kipusa, michezo tu hamna vya maana vinavyojadiliwa
 
Nadhani huu UPUUZI una mkono wa maCCM..ni kama kipindi klle cha siasa NYEUSI SA na pombe ya "Mkombothi"...
 
Mwandishi wa habari mkongwe nchini Tanzania, Abdallah Majura amehoji kuhusu radio kuwa na vipindi vya michezo asubuhi na kujadili mambo ya Simba na Yanga.

“Tangu asubuhi watu wanatangaza michezo tu, lakini siamini kwamba Watanzania wote wanapenda michezo tu”

Nafikiri Majura atakuwa anawalenga, Crown FM, Wasafi FM, Clouds Fm na Efm
Hizo Simba na Yanga ni kichaka kikubwa sana Cha kuzubaisha watu.
 
Asubuhi mtu anaanza kusikiliza michezo ukianza na Wasafi, Crown, Clouds, EA Radio, Bongo FM, EFM vipindi vinaisha saa 6 mchana. Halafu hao EFM wanahamia kwenye TV yao sijui kuna yule Dada anaitwa Maongezi kipindi hadi saa 9 mchana. Then kuanzia saa 8 mchana zinaanza mechi za ligi kuu hadi 3 usiku. Baadae unakutana na ligi za Ulaya, EPL, La Liga, UCL, sijui Europa... aiseeh hili taifa sijui kama tutapata maendeleo maana vijana wengi wameangukia huko afu hapo jumlisha na kubeti sasa, bado hawajaanza kubishana kwenye vijiwe na mitandaoni, bado hawajacomment kwenye page za CAF hahahaaaa 😀 😀 😀, hatutoboi!!
CCM wanachekea sana sanaaaa, ndivyo wanataka hivyoo
 
Mwandishi wa habari mkongwe nchini Tanzania, Abdallah Majura amehoji kuhusu radio kuwa na vipindi vya michezo asubuhi na kujadili mambo ya Simba na Yanga.

“Tangu asubuhi watu wanatangaza michezo tu, lakini siamini kwamba Watanzania wote wanapenda michezo tu”

Nafikiri Majura atakuwa anawalenga, Crown FM, Wasafi FM, Clouds Fm na Efm
Huyo ancestor bado ana DNA za Radio Tanzania, hawezi kumpangia mtu afanyeje na mali yake
 
Mwandishi wa habari mkongwe nchini Tanzania, Abdallah Majura amehoji kuhusu radio kuwa na vipindi vya michezo asubuhi na kujadili mambo ya Simba na Yanga.

“Tangu asubuhi watu wanatangaza michezo tu, lakini siamini kwamba Watanzania wote wanapenda michezo tu”

Nafikiri Majura atakuwa anawalenga, Crown FM, Wasafi FM, Clouds Fm na Efm
Hizi redio zote nashauri zifungwe tu, kwa kweli hazina mahudhui yoyote mazuri zaidi ya ujinga kila kukicha. Watangazaji wao wengi wanatoa habari za uwongo haswa wanapotoa story za wasanii wa nje au michezo, hazifai kabisa.
 
Mpira sio vitu vya maana ?
Unajua ni maelfu ya watz wangapi wanajipatia kipato kutokana na huo mpira?
Majority hawapati chochote tofauti na kubishana kikubwa ni burudani na hakuna zaidi ya hicho!
Huu ujinga wa Simba na Yanga eti uko mpaka bungeni are we serious? Hospital hazina Groves na madawa halafu tunanunua magoli! Very sad!
 
Khaaa baaobsawa kila zamana kitabu chake....radio ziko tele tune utakayo
 
Mwandishi wa habari mkongwe nchini Tanzania, Abdallah Majura amehoji kuhusu radio kuwa na vipindi vya michezo asubuhi na kujadili mambo ya Simba na Yanga.

“Tangu asubuhi watu wanatangaza michezo tu, lakini siamini kwamba Watanzania wote wanapenda michezo tu”

Nafikiri Majura atakuwa anawalenga, Crown FM, Wasafi FM, Clouds Fm na Efm
Ni vituo vyote vya redio hata vya makanisa na misikiti.
Huu uchambuzi ni maelekezo toka CCM kuwatia ujinga watanzania waachane na ajenda ya katiba.
 
Kipindi cha miaka ya nyuma, watu walikuwa wanatenga muda kabisa wa kusikiliza redio,.

Imebakia uchambuzi uchwara wa mpira, kusomewa magazeti na uchawa mwingi

Pamoja na kujisifu maisha binafsi ya huko majumbani mwao, mfano; nanyumba kali, gari Kali, watt wangu wanasoma shule EM, mke wangu mzuri duniani 😂😂 n.k
Unaumia 😀😀😀
 
Ni dhahiri kuwa alitaka tuwe tunasikiliza habari za mitungi ya gesi yenye picha za ushungi. Pumbavu zake
 
Back
Top Bottom