Jinyonge. Ndio inajengwa tena. Hizi % zako, jibia mtihani UNAOKUJA huu umefeli na hilo desa lako walilokupa BBCGIA angani tayari baada ya kuona ni mradi hewa.
Kwa akili zako za kindezi nyie wasukuma shida yenu kuu ni sgr? Sgr ndio itapunguza au kuondoa umaskini?
Reli zimekuwepo toka enzi za wakoloni na walizijenga kwa tija za kiuchumi zilizokuwepo sasa hii ya Sasa ambayo inaongezewa kasi inajengwa kwa tija gani huko kwenu?
Good analysis. Now lets dig deeper.Aliandika PseudoDar186 mwaka 2019 namnukuu:
Kwa mwaka 2017/18, jumla ya tani 5.6 million zilipitia Tanzania (bandari ya Dar es Salaam pekee) kwenda au kutoka nchi za jirani, ikilinganishwa na tani 4.8 million mwaka 2016/17. Hili ni ongezeko la asilimia 17.1 na ni habari njema kabisa kwa TPA na nchi yetu kwa ujumla.
Ukiangalia mchanganuo wa shehena zinazoenda au kutoka nchi za jirani, asilima 61.1% ni za Zambia (36.6%) na J.D. Kongo (24.4%). Hii ni zaidi ya tani 3.4 million ambazo kwa asilimia kubwa zinawafikia jirani zetu kupitia barabara zetu hapa Tanzania. Ukipitia takwimu za 2017/18, TAZARA imefanikiwa kusafirisha mizigo ya tani 187,558 tu (3.4% ya 5.6 million) kwa njia ya reli.
Shehena za Rwanda ni asilimia 16.5% pekee (au tani 922,134) kwa mwaka wa 2017/18. Ukilinganisha na 2016/17, kuna upungufu wa 9.0% - kitu ambacho kinaashiria kuwa mizigo ya Rwanda inawezekana kuwa inapitia Kenya na Uganda.
Kwa kutumia akili za kawaida (common sense), kuna haja ya kuwekeza reli ya SGR kuunganisha Tanzania na Zambia na J.D. Kongo kwa sababu business case (volume of cargo) ni kubwa mno (kwa mara 3.7) kuliko Rwanda. Pia, tukiweza kuondoa hata tani 2 million barabani, TANROADS watapumua kidogo na matengenezo ya kila mara yanayotokana na uharibifu wa baraba zetu. Hii ni kwa mujibu ya data za NBS na TPA wenyewe.
Ask yourselfBaada ya Mungu kumpenda Daraja litabomolewa na SGR haitoenda?!
Avha matusi kuwa na roho nzuri nenda kapalilie kaburi la mekoYule BLADIFAKENII alikuwa ni mkabila na mkanda!
unafikiria kilocali Sana wwe,unathani kungejengwa SGR mbili,moja ielekee Kigoma to DRC na ingine ielekee Mwanza gani ingekuea full loaded na ingeleta pesa na kusaidia sector tofauti,mf ingepitia Kigoma,ingefanya port ya Tanganyika ipanuke iwache kufa na ingeleta many jobs,Eneo zote zenye SGR ingepitia kabla ifike Kingoma ingesababisha maendeleo kwasababu Viwanda vingi vingefunguliwa,SGR hio pia ingeweza kusafirisha watu wengi kutoka eneo Zote inazopitia mpaka Wana DRC na Burundi,Think like a Business manHuwezi anzisha mradi wa kitaifa kwa ajiri ya Nchi jirani aisee....mizigo inayokwenda kigoma inaingia bandarini na kuvuka border na Ile ya mwanza inaishia mwanza na kanda yote kapata mahitaji yao.
Sent from my PIC-LX9 using JamiiForums mobile app
Naenda kunya juu ya kaburi lake.Avha matusi kuwa na roho nzuri nenda kapalilie kaburi la meko
Umetuambia ya kupokea asante- tuambie ni kiasi gani cha mizigo kinatoka Mwanza kwenda Dar na kwa Kigoma vile vile. Pia acha ujuaji wa Kiha- kupata makamu wa rais tu mmejiona wa maana- je wale waliotoa rais wafikie wapi?Wakuu mnogage.
Kwa mujibu wa BBC ikimhoji mtaalam wa Uchumi imebainika kwamba mzigo unaoingia bandari ya Dar es Salaam kuelekea Nchi za jirani via Central corridor ni asilimia 10% tu ya mzigo huo unaelekea bandari ya Mwanza wakati asilimia 41% huelekea bandari ya Kigoma.
Cha kushangaza imekuaje reli ya SGR ijengwe kuelekea Mwanza? Wananchi wa nchi hii tunazidi kubebeshwa mizigo ya misumari Kisa maamuzi ya kisiasa.Mpaka hapo tunazika pesa na kuzalisha white elephant project,very sad.
Jamaa ni wa makete, anachukia mno Mwanza na kanda ya ziwa kwa ujumla, sijua wanamwanza walimfanyaje huko nyuma.Wewe kwanza kwenu ni wapi tuanzie hapo kwanza.
Hakuna biashara yoyote ya maana Kati ya Dar na MwanzaUmetuambia ya kupokea asante- tuambie ni kiasi gani cha mizigo kinatoka Mwanza kwenda Dar na kwa Kigoma vile vile. Pia acha ujuaji wa Kiha- kupata makamu wa rais tu mmejiona wa maana- je wale waliotoa rais wafikie wapi?
Utajinyonga wewe ukianza kukamuliwa kodi ya kuendesha hiyo mitambo ya gongoJinyonge. Ndio inajengwa tena. Hizi % zako, jibia mtihani UNAOKUJA huu umefeli na hilo desa lako walilokupa BBC
Kwa hiyo ipi yenye tija ? Hiyo 10% au 41%?Huwezi anzisha mradi wa kitaifa kwa ajiri ya Nchi jirani aisee....mizigo inayokwenda kigoma inaingia bandarini na kuvuka border na Ile ya mwanza inaishia mwanza na kanda yote kapata mahitaji yao.
Sent from my PIC-LX9 using JamiiForums mobile app
Kqma kuna kodi utalipa tu na Reli haiji. Ukikataa unakwenda ndaniUtajinyonga wewe ukianza kukamuliwa kodi ya kuendesha hiyo mitambo ya gongo
Huelewi hata maana ya Central corridor,pole
jamiiforums kila mtu ni mtaalam....mlienda shule kufundishwa ujinga au?? unajua ziwa Tanganyika limepakana na nchi ngapi??Wakuu mnogage.
Kwa mujibu wa BBC ikimhoji mtaalam wa Uchumi imebainika kwamba mzigo unaoingia bandari ya Dar es Salaam kuelekea Nchi za jirani via Central corridor ni asilimia 10% tu ya mzigo huo unaelekea bandari ya Mwanza wakati asilimia 41% huelekea bandari ya Kigoma.
Cha kushangaza imekuaje reli ya SGR ijengwe kuelekea Mwanza? Wananchi wa nchi hii tunazidi kubebeshwa mizigo ya misumari Kisa maamuzi ya kisiasa.Mpaka hapo tunazika pesa na kuzalisha white elephant project,very sad.
Punguza kuhemka kama unabalehe jikite kwenye madajamiiforums kila mtu ni mtaalam....mlienda shule kufundishwa ujinga au?? unajua ziwa Tanganyika limepakana na nchi ngapi??