Mwanza inapokea 10% tu ya mizigo kutoka Dar huku Kigoma ikipokea 41% ya mizigo. SGR ya Mwanza ni White Elephant project

Mradi wa SGR haukuanzishwa na Magufuli, mkakati uliwekwa na mwishoni wa serikali ya awamu ya tano,
nakumbuka lengo ilikua ni kujenga reli Dar to kigoma katika awamu ya kwanza, ila baada ya magufuli kuingia lengo lilibadilishwa ikawa Dar Mwanza, KiGOma ikawa kwenye mkakati wa awamu pili ya mradi.
 
Aliandika PseudoDar186 mwaka 2019 namnukuu:

Kwa mwaka 2017/18, jumla ya tani 5.6 million zilipitia Tanzania (bandari ya Dar es Salaam pekee) kwenda au kutoka nchi za jirani, ikilinganishwa na tani 4.8 million mwaka 2016/17. Hili ni ongezeko la asilimia 17.1 na ni habari njema kabisa kwa TPA na nchi yetu kwa ujumla.

Ukiangalia mchanganuo wa shehena zinazoenda au kutoka nchi za jirani, asilima 61.1% ni za Zambia (36.6%) na J.D. Kongo (24.4%). Hii ni zaidi ya tani 3.4 million ambazo kwa asilimia kubwa zinawafikia jirani zetu kupitia barabara zetu hapa Tanzania. Ukipitia takwimu za 2017/18, TAZARA imefanikiwa kusafirisha mizigo ya tani 187,558 tu (3.4% ya 5.6 million) kwa njia ya reli.

Shehena za Rwanda ni asilimia 16.5% pekee (au tani 922,134) kwa mwaka wa 2017/18. Ukilinganisha na 2016/17, kuna upungufu wa 9.0% - kitu ambacho kinaashiria kuwa mizigo ya Rwanda inawezekana kuwa inapitia Kenya na Uganda.

Kwa kutumia akili za kawaida (common sense), kuna haja ya kuwekeza reli ya SGR kuunganisha Tanzania na Zambia na J.D. Kongo kwa sababu business case (volume of cargo) ni kubwa mno (kwa mara 3.7) kuliko Rwanda. Pia, tukiweza kuondoa hata tani 2 million barabani, TANROADS watapumua kidogo na matengenezo ya kila mara yanayotokana na uharibifu wa baraba zetu. Hii ni kwa mujibu ya data za NBS na TPA wenyewe.
 
GIA angani tayari baada ya kuona ni mradi hewa.

Kwa akili zako za kindezi nyie wasukuma shida yenu kuu ni sgr? Sgr ndio itapunguza au kuondoa umaskini?

Reli zimekuwepo toka enzi za wakoloni na walizijenga kwa tija za kiuchumi zilizokuwepo sasa hii ya Sasa ambayo inaongezewa kasi inajengwa kwa tija gani huko kwenu?
Jinyonge. Ndio inajengwa tena. Hizi % zako, jibia mtihani UNAOKUJA huu umefeli na hilo desa lako walilokupa BBC
 
Aliandika PseudoDar186 mwaka 2019 namnukuu:

Kwa mwaka 2017/18, jumla ya tani 5.6 million zilipitia Tanzania (bandari ya Dar es Salaam pekee) kwenda au kutoka nchi za jirani, ikilinganishwa na tani 4.8 million mwaka 2016/17. Hili ni ongezeko la asilimia 17.1 na ni habari njema kabisa kwa TPA na nchi yetu kwa ujumla.

Ukiangalia mchanganuo wa shehena zinazoenda au kutoka nchi za jirani, asilima 61.1% ni za Zambia (36.6%) na J.D. Kongo (24.4%). Hii ni zaidi ya tani 3.4 million ambazo kwa asilimia kubwa zinawafikia jirani zetu kupitia barabara zetu hapa Tanzania. Ukipitia takwimu za 2017/18, TAZARA imefanikiwa kusafirisha mizigo ya tani 187,558 tu (3.4% ya 5.6 million) kwa njia ya reli.

Shehena za Rwanda ni asilimia 16.5% pekee (au tani 922,134) kwa mwaka wa 2017/18. Ukilinganisha na 2016/17, kuna upungufu wa 9.0% - kitu ambacho kinaashiria kuwa mizigo ya Rwanda inawezekana kuwa inapitia Kenya na Uganda.

Kwa kutumia akili za kawaida (common sense), kuna haja ya kuwekeza reli ya SGR kuunganisha Tanzania na Zambia na J.D. Kongo kwa sababu business case (volume of cargo) ni kubwa mno (kwa mara 3.7) kuliko Rwanda. Pia, tukiweza kuondoa hata tani 2 million barabani, TANROADS watapumua kidogo na matengenezo ya kila mara yanayotokana na uharibifu wa baraba zetu. Hii ni kwa mujibu ya data za NBS na TPA wenyewe.
Good analysis. Now lets dig deeper.
Katika hizo Tani 3.4m za Congo only Tani 136,573 zilihudumiwa na badari ya Kigoma ktk huo mwaka 2017/18 sawa na 4%. Means 96% ya mizigo ya Congo ilipita Isaka to Congo via kigali kwa kutumia njia ya barabara.
What does that tells you?
Kigoma or Isaka?
 
Huwezi anzisha mradi wa kitaifa kwa ajiri ya Nchi jirani aisee....mizigo inayokwenda kigoma inaingia bandarini na kuvuka border na Ile ya mwanza inaishia mwanza na kanda yote kapata mahitaji yao.

Sent from my PIC-LX9 using JamiiForums mobile app
unafikiria kilocali Sana wwe,unathani kungejengwa SGR mbili,moja ielekee Kigoma to DRC na ingine ielekee Mwanza gani ingekuea full loaded na ingeleta pesa na kusaidia sector tofauti,mf ingepitia Kigoma,ingefanya port ya Tanganyika ipanuke iwache kufa na ingeleta many jobs,Eneo zote zenye SGR ingepitia kabla ifike Kingoma ingesababisha maendeleo kwasababu Viwanda vingi vingefunguliwa,SGR hio pia ingeweza kusafirisha watu wengi kutoka eneo Zote inazopitia mpaka Wana DRC na Burundi,Think like a Business man
 
Hii SGR baada ya kufika Kigoma,inafaa ibranchiwe Mara mbili kutoka Dodoma,Reli moja ielekezwe Kingoma na ingine ielekezwe zambia,Ikifanyika hivo TZ economy will Rise like miracle,Itasababisha many job opportunities na Mungu awabariki Sana🤝
 
Mwendazake alikuwa mtu very selfish na mwenye wivu,Alikuwa ana weka Siasa na maendeleo pamoja ili Opposition wake wasifaidike😃Na ni Nchi moja ungefikiri ni Jirani,Hakutaka Kigoma ifaidike
 
Wakuu mnogage.

Kwa mujibu wa BBC ikimhoji mtaalam wa Uchumi imebainika kwamba mzigo unaoingia bandari ya Dar es Salaam kuelekea Nchi za jirani via Central corridor ni asilimia 10% tu ya mzigo huo unaelekea bandari ya Mwanza wakati asilimia 41% huelekea bandari ya Kigoma.

Cha kushangaza imekuaje reli ya SGR ijengwe kuelekea Mwanza? Wananchi wa nchi hii tunazidi kubebeshwa mizigo ya misumari Kisa maamuzi ya kisiasa.Mpaka hapo tunazika pesa na kuzalisha white elephant project,very sad.
Umetuambia ya kupokea asante- tuambie ni kiasi gani cha mizigo kinatoka Mwanza kwenda Dar na kwa Kigoma vile vile. Pia acha ujuaji wa Kiha- kupata makamu wa rais tu mmejiona wa maana- je wale waliotoa rais wafikie wapi?
 
Hakuna biashara yoyote ya maana Kati ya Dar na Mwanza
 
Wakuu mnogage.

Kwa mujibu wa BBC ikimhoji mtaalam wa Uchumi imebainika kwamba mzigo unaoingia bandari ya Dar es Salaam kuelekea Nchi za jirani via Central corridor ni asilimia 10% tu ya mzigo huo unaelekea bandari ya Mwanza wakati asilimia 41% huelekea bandari ya Kigoma.

Cha kushangaza imekuaje reli ya SGR ijengwe kuelekea Mwanza? Wananchi wa nchi hii tunazidi kubebeshwa mizigo ya misumari Kisa maamuzi ya kisiasa.Mpaka hapo tunazika pesa na kuzalisha white elephant project,very sad.
jamiiforums kila mtu ni mtaalam....mlienda shule kufundishwa ujinga au?? unajua ziwa Tanganyika limepakana na nchi ngapi??
 
Back
Top Bottom