Vege
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 338
- 365
Achana na mawazo ya kimasikiniAlikuwa anataka akaiunganishe na daraja la mke wake la busisi kule ukweni.
Ila Mungu anaIpenda sana TZ.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na mawazo ya kimasikiniAlikuwa anataka akaiunganishe na daraja la mke wake la busisi kule ukweni.
Ila Mungu anaIpenda sana TZ.
Kwani moro, dodoma tabora ziko mbele ya mwanza?Na ambayo inashuka moro, Dodoma,Tabora,Kahama,Shinyanga,Simiyu,Mara ni asilimia ngapi?hizi akili za kilaza Zitto zishindwe
Mwenzake alikuwa na fikra
Wewe ni mjinga and probably na hao walio like post yako..labda haujasoma ila kama umesoma ni hasara kubwa...sgr inaelekea Mwanza sababu ya kutaka kukuza biashara na uganda na kuuwa competition ya bandari ya mombasa na Lamu kwa kuikamata Sudan ya kusini, labda uangalie distance btn Mwanza and South Sudan, ndio maana wanajenga na daraja la kigongo busisi. Toa hoja reli ya sgr ielekee pia kigoma sio kuja unalalamika kwann imeelekea Mwanza. Huwa nakeleka sana Mtanzania kuwa na wivu na maendeleo ya taifa lake. Wewe sgr kwenda Mwanza inakuuma nini? Bagamoyo ikijengwa bandari kama imezingatia maslahi ya nchi inakuuma nini? Kiwanda cha kuchakata gas kikijengwa lini na mtwara unakeleka? Stupid scumbagWakuu mnogage.
Kwa mujibu wa BBC ikimhoji mtaalam wa Uchumi imebainika kwamba mzigo unaoingia bandari ya Dar es Salaam kuelekea Nchi za jirani via Central corridor ni asilimia 10% tu ya mzigo huo unaelekea bandari ya Mwanza wakati asilimia 41% huelekea bandari ya Kigoma.
Cha kushangaza imekuaje reli ya SGR ijengwe kuelekea Mwanza? Wananchi wa nchi hii tunazidi kubebeshwa mizigo ya misumari Kisa maamuzi ya kisiasa.Mpaka hapo tunazika pesa na kuzalisha white elephant project,very sad.
Kupaka rangi jumba bovu hakuongezi uimara..Takwimu ndio hizo hapo juu 10% kwa Mwanza route vs 41% for Kigoma route.Safi mkuu hongera kwa ufafanuzi Kunawatanzania akili ziko mndukuni kupinga kila kitu
Tuseme ulichosema ni kweli je hujiulizi kwanini mpaka leo miaka 60 Kigoma ni mkoa pekee michache iliyobaki haina barabara za uhakika? juzi umesikia Mwanza BOT wamefungua branch pale sababu mikoa ya kule inachangia 25%. kama nilivyosema itakuja kufika kote huko kwa sasa wenye malory ya mizigo au bidhaa za Congo badala ya kuchukulia Dar watakuja hapo Isaka tu na kupeleka Congo hizi ndio fursa zitaletwa na SGR kama dry port mambo mengi yatakuja kwa fursa. feasibility study imefanyika inaweza kuwa ni rahisi mizigo kuchukuliwa Isaka to Congo badala ya kupeleka reli Kigoma lazima tuwaamini waliofanya study na zaidi hata watoa mikopo wanapitia study hizi ili kupitisha mikopo yao kwa kujuwa unafungua fursa katika uchumi. Tuipeni nafasi SGR mimi naamini ni kitu bora kabisa na itapunguza gharama za kurekebisha barabara zetu. Kama tunahoji hili la SGR kwenda Mwanza tungehoji barabara pia kwenda Mwanza kwanza kabla ya Kigoma hapo ingeleta logic.Huduma ya Abiria kwa Treni, inachangia chini ya Asilimia 20 ya mapato ya Reli.
Bila kubeba mizigo, SGR haiwezi kujiendesha.
Shirika la Reli linabebwa na mizigo ya kwenda Kongo kwa zaidi ya Asilimia 50.
Katika hali hiyo, busara ya kawaida inaonyesha kuwa SGR ilitakiwa iende Kigoma kwanza, ili iboreshe mapato ambayo yangetumika kukamilisha kipande cha Tabora-Isaka-Mwanza.
Mkulima mwenye busara, analima shamba lenye rutuba kwanza, na baadaye ndipo analima lile lenye upungufu wa rutuba.
Mwendazake aliamua kuanza na Shamba lisilo na rutuba.
Hakika, uamuzi huu wa kuanza na shamba lisilo na rutuba umechochewa na Ukabila wa Mwendazake.
Ni vizuri kufanya analysis ya Takwimu unazotoa.Angalia hapa
View attachment 1828180
Hakuna feasibility study imefanyika hiyo ni politics za Mwendazake tuuTuseme ulichosema ni kweli je hujiulizi kwanini mpaka leo miaka 60 Kigoma ni mkoa pekee michache iliyobaki haina barabara za uhakika? juzi umesikia Mwanza BOT wamefungua branch pale sababu mikoa ya kule inachangia 25%. kama nilivyosema itakuja kufika kote huko kwa sasa wenye malory ya mizigo au bidhaa za Congo badala ya kuchukulia Dar watakuja hapo Isaka tu na kupeleka Congo hizi ndio fursa zitaletwa na SGR kama dry port mambo mengi yatakuja kwa fursa. feasibility study imefanyika inaweza kuwa ni rahisi mizigo kuchukuliwa Isaka to Congo badala ya kupeleka reli Kigoma lazima tuwaamini waliofanya study na zaidi hata watoa mikopo wanapitia study hizi ili kupitisha mikopo yao kwa kujuwa unafungua fursa katika uchumi. Tuipeni nafasi SGR mimi naamini ni kitu bora kabisa na itapunguza gharama za kurekebisha barabara zetu. Kama tunahoji hili la SGR kwenda Mwanza tungehoji barabara pia kwenda Mwanza kwanza kabla ya Kigoma hapo ingeleta logic.
Weka link ya bbc ikimuhoji huyo mtaaalam...Tuanzie hapo kwanzaWakuu mnogage.
Kwa mujibu wa BBC ikimhoji mtaalam wa Uchumi imebainika kwamba mzigo unaoingia bandari ya Dar es Salaam kuelekea Nchi za jirani via Central corridor ni asilimia 10% tu ya mzigo huo unaelekea bandari ya Mwanza wakati asilimia 41% huelekea bandari ya Kigoma.
Cha kushangaza imekuaje reli ya SGR ijengwe kuelekea Mwanza? Wananchi wa nchi hii tunazidi kubebeshwa mizigo ya misumari Kisa maamuzi ya kisiasa.Mpaka hapo tunazika pesa na kuzalisha white elephant project,very sad.
Sasa unaenda personal, kamsikilize JK katika mahojiano na Salama aliongelea hili lilianza awamu yake. Mimi sijawahi kuwa mpenzi wa JPM lakini katika sio jambo lake binafsi hili lilikuwa ilani ya CCM feasibility study ilifanywa awamu ya 4 wala sio ya 5 ndio maana alipoingia yeye tu miradi ikaanza sababu ilishafanyiwa upembuzi,Hakuna feasibility study imefanyika hiyo ni politics za Mwendazake tuu
Pumbavu wewe ndo mwakilishi wa wasukuma? Huko kigoma machakani kunakotegemea mizigo ya Congo kunanini zaid ya mizigo tu? Uache kupeleka mwanza ambapo utapata mizigo na a abiria ukimbilie sehemu ambayo usalama mpaka ukae sawa ndo uwe na uhakika wa mizigoLawama zote kwa Magufuli kwa kuwa na upendeleo na ubinafsi! Alidhani kwa upendeleo huo atapendwa na wasukuma matokeo yake wanashangilia kutoweka kwake kuzimu!
Kwa heshima na taadhima, ninaamini kabisa wewe unaitakia mema Nchi yetu.Tuseme ulichosema ni kweli je hujiulizi kwanini mpaka leo miaka 60 Kigoma ni mkoa pekee michache iliyobaki haina barabara za uhakika? juzi umesikia Mwanza BOT wamefungua branch pale sababu mikoa ya kule inachangia 25%. kama nilivyosema itakuja kufika kote huko kwa sasa wenye malory ya mizigo au bidhaa za Congo badala ya kuchukulia Dar watakuja hapo Isaka tu na kupeleka Congo hizi ndio fursa zitaletwa na SGR kama dry port mambo mengi yatakuja kwa fursa. feasibility study imefanyika inaweza kuwa ni rahisi mizigo kuchukuliwa Isaka to Congo badala ya kupeleka reli Kigoma lazima tuwaamini waliofanya study na zaidi hata watoa mikopo wanapitia study hizi ili kupitisha mikopo yao kwa kujuwa unafungua fursa katika uchumi. Tuipeni nafasi SGR mimi naamini ni kitu bora kabisa na itapunguza gharama za kurekebisha barabara zetu. Kama tunahoji hili la SGR kwenda Mwanza tungehoji barabara pia kwenda Mwanza kwanza kabla ya Kigoma hapo ingeleta logic.
Hawa nyumbu wakisikia mwanza mavi yanagonga chupi! Yani kigoma hata kahama tu haiifikii kwa hochote ndo upeleke reli akili au ujingaHahaaaa
Mzee wa kuteseka na mwanza
Yani hapo ndo mwanzo jifunge mkanda kiunoni kazi ndo imeanza
Nadhani mimi na wewe sote nia yetu nzuri katika hili na hoja kutofautiana mimi napenda tu. Nilivyosema mizigo ya Congo waje wachukulie Isaka sikuwa na maana gari zitatoka Congo hapana ni kama tungejenga reli mpaka Kigoma SGR kwa hoja uliyotoa kuwa 41% mizigo inaenda Congo kupitia Kigoma haina tofauti na kuchukuwa Isaka kwa maana haya malory yangefanya route fupi kutoka Isaka mpaka Kigoma halafu hapo usafiri wa majini. hata SGR inegefika Kigoma ni bado usafiri wa majini ungetumika.Kwa heshima na taadhima, ninaamini kabisa wewe unaitakia mema Nchi yetu.
Pamoja na nia yako njema, naomba nikuambie kuwa zipo njia (route) mbili za kupeleka mizigo Kongo.
Moja ni kupitia Mbeya, kwa njia ya Barabara, na ya pili ni kupitia Kigoma kwa njia ya Maji (Ziwa Tanganyika).
Kwa hali hiyo, hakuna Malori yatakayokuja Isaka kuchukua mizigo ya Kongo.
Jiografia ya Nchi ya Kongo iko hivyo.
Labda ungesema kuwa kwa kuwa Reli ya Kati ipo na inafanya kazi, mizigo ya kwenda Kongo itaendelea kwenda kwa kutumia Reli ya zamani (Metre Gauge) wakati Standard Gauge Railway ya Isaka-Mwanza inakula kodi za Watanzania.
Ukweli ni kwamba, SGR ya kwenda Mwanza imeingia kwenye kapu moja na Chato International Airport!
FIKRA FINYU za Mwendazake Waziri wa Fedha,Uchumi na Mipango ndio huyu huyu Alishindwa KumshauriWakuu mnogage.
Kwa mujibu wa BBC ikimhoji mtaalam wa Uchumi imebainika kwamba mzigo unaoingia bandari ya Dar es Salaam kuelekea Nchi za jirani via Central corridor ni asilimia 10% tu ya mzigo huo unaelekea bandari ya Mwanza wakati asilimia 41% huelekea bandari ya Kigoma.
Cha kushangaza imekuaje reli ya SGR ijengwe kuelekea Mwanza? Wananchi wa nchi hii tunazidi kubebeshwa mizigo ya misumari Kisa maamuzi ya kisiasa.Mpaka hapo tunazika pesa na kuzalisha white elephant project,very sad.
Tatizo una upungufu wa akili ungepungukiwa damu tungekuchangia!Pumbavu wewe ndo mwakilishi wa wasukuma? Huko kigoma machakani kunakotegemea mizigo ya Congo kunanini zaid ya mizigo tu? Uache kupeleka mwanza ambapo utapata mizigo na a abiria ukimbilie sehemu ambayo usalama mpaka ukae sawa ndo uwe na uhakika wa mizigo
Very unfortunate. #katiba mpyaWakuu mnogage.
Kwa mujibu wa BBC ikimhoji mtaalam wa Uchumi imebainika kwamba mzigo unaoingia bandari ya Dar es Salaam kuelekea Nchi za jirani via Central corridor ni asilimia 10% tu ya mzigo huo unaelekea bandari ya Mwanza wakati asilimia 41% huelekea bandari ya Kigoma.
Cha kushangaza imekuaje reli ya SGR ijengwe kuelekea Mwanza? Wananchi wa nchi hii tunazidi kubebeshwa mizigo ya misumari Kisa maamuzi ya kisiasa.Mpaka hapo tunazika pesa na kuzalisha white elephant project,very sad.
Hoja hujibiwa kwa hoja. Kama una takwimu tupe ili tuelewe hoja yako.Kanda ya Ziwa ina mizingo mingi kuliko Kigoma wewe unafikiria tu nchi za nje na ndani ya nchi je?