sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Huwezi kuona shida ikiwa wewe unaamini Mbowe ni munguPolisi wa TZ bana.
Sasa kulikua na haja gani kuandika kuwa huyo mama anawaaminisha wafuasi wake kuwa yeye ni mungu?
Au ni moja ya makosa kisheria kamahayo makosa ya human trafficking wanayomshutumu nayo?
MHAYAHiyo pointi tisa ni mtu gani?
Unawashwa kinyeo wewe.Huwezi kuona shida ikiwa wewe unaamini Mbowe ni mungu
Aloo nilocheka hatariYale mazombi leo hayakuamka nini
Yaani Diana unaiandika kwa herufi kubwa ila Yesu inaiandika kwa herufi ndogo?Hata yesu mulimuua kwa shutuma hizo hizo za kudai anajiita mara Mungu mara Mfalme n.k. Sometimes Mungu anajambo lake kupitia Diana ila walimwengu na himaya zenu za kishetani mnahakikisha Mungu hapati nafasi.
Unakosea sanaYaani Diana unaiandika kwa herufi kubwa ila Yesu inaiandika kwa herufi ndogo?
Yesu akuponye akutoe katika vifungo vya mateka ulivyofungwa na huyo shetani, Amen.
Kirahis hivyo, hujui Mambo ya dini yalivyo...huyu biashara yake imeishia hapa labda kama ana wakubwa uhamiaji huko
Hawa police wetu hawa!Polisi wa TZ bana.
Sasa kulikua na haja gani kuandika kuwa huyo mama anawaaminisha wafuasi wake kuwa yeye ni mungu?
Au ni moja ya makosa kisheria kamahayo makosa ya human trafficking wanayomshutumu nayo?
Police wanataka ku justify tu kukamatwa kwake huyo mama!hapo hamna human trafficking Hao ni wakazi wa kwanza hapohapoWanasafirishwa kutoka wapi?
Halafu watu wameamua wenyewe kwa Imani zao wenyewe police wanawakataza kwa nini?Hapo kosa ni usafirishaji wa binadamu ama kuwaaminisha waumini yeye ni Mungu anaefufua wafu?
Maana naona kuna maelezo 2 tofauti.
Kama watu wanamuamini kama mfufua wafu na ni Mungu kuna ubaya gani? Mbona watu wanaamini miungu hawajawahi kuiona na wengine wanaenda kuitembelea ilipozikwa kila mwaka na hakuna ubaya.
Zamaridi aachwe aendelee ma huduma yake ya kufufua wafu.
Mfalme ZumaridiiiiAiseee kuwashika wale makerubi wa Mfalme Zumaridi ni kuwaonea tu.
Zumaridi ndiye ashikwe na hao wawe kama vidhibiti/ushahidi wa kesi ya kuwaweka watu misukule.
Zumaridi kawageuza waumini wake misukule
Ni kweli, alisha kivunja kilingeMbona MJ Ameokoka