Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Upuuzi mtupu,kufanya mikutano kwa fadhila za mshindani wako halafu utegemee ushindani wa kisiasa-ni kama vile CCM ina I control Chadema na upinzani
Acha utoto unafikiri nchi ya club ya pombe kila mtu ajifanyie anavyotaka. Kuna taratibu, miongozo na sheria mbalimbali. Kuna suala la usalama, watu walalamishi km wewe kikitokea cha kutokea utakuwa wa kwanza kulalamika usalama wa chi uko wapi. Tushawazoea ni mijitu milalamishi.
 
Kwenye sakata la COVID 19 ulitumwa.
 
Unafanya nini huko kwenye hiyo CCM ya vilaza, wala rushwa, mafisadi, waongi, washirikina!!???
 
Mkuu Kipenda roho, kiukweli kabisa kuna baadhi ya Watanzania wanaoumizwa genuinely na mambo ya hovyo ya serikali yetu Bunge letu na Mahakama zetu!....

[emoji23][emoji23][emoji23] mambo yenu gani mkuu !! Ila my advice to you bro achana na CCM ! Hicho chama ni balaa kubwa katika taifa hili ! To associate yourself with it is seriously turnishing your otherwise good public image you command! Bora tu uwe neutral! CCM NI “ MAJAMBAZI “ MAKUBWA ! Umasikini mkubwa wa watanzania ni matokeo ya moja kwa moja ya CCM na Serikali Yake NI WATU WABAYA SANA TENA MNOOOO !
 
Nimewahi andika humu kitambo kuwa uchaguzi 2025 unaweza kuota mbawa bt watu hawaoni mbali na mbele,

Nani ajuaye ikiwa Sa100 ataruhusu Tume huru ya Uchaguzi itakayoruhusu matokeo ya Urais kuhojiwa mahakamani[emoji15][emoji15][emoji15]
Kwahiyo ushauri wako ni upi?
 
Kuna aina tatu za photograph.

Horizontal, Oblique na Vertical.

Hapa naona CDM wanatuletea Horizontal hii maana yake hakuna watu. 🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…