Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Upuuzi mtupu,kufanya mikutano kwa fadhila za mshindani wako halafu utegemee ushindani wa kisiasa-ni kama vile CCM ina I control Chadema na upinzani
Acha utoto unafikiri nchi ya club ya pombe kila mtu ajifanyie anavyotaka. Kuna taratibu, miongozo na sheria mbalimbali. Kuna suala la usalama, watu walalamishi km wewe kikitokea cha kutokea utakuwa wa kwanza kulalamika usalama wa chi uko wapi. Tushawazoea ni mijitu milalamishi.
 
Mkuu Chakaza , kumbe wewe mimi hunijui kabisa!. Mimi sio mtu wa propaganda kabisa!, mimi ni realist ambaye nasema vitu vya kweli tupu. Mimi ni an independent man, siwezi kurudi kwenye utumwa wa kutumwa na yeyote, hivyo siwezi kuwa msemaji wa taasisi yoyote!. Na hili mimelisema toka enzi ya JK, JPM na sasa Samia!.
P
Kwenye sakata la COVID 19 ulitumwa.
 
Mkuu Kipenda roho, kiukweli kabisa kuna baadhi ya Watanzania wanaoumizwa genuinely na mambo ya hovyo ya serikali yetu Bunge letu na Mahakama zetu!. Hivyo niligombea very genuinely kutaka kusaidia na hili nililiweka wazi kabisa kwanini nataka kwenda Bungeni na kwenda kufanya nini

Very unfortunately ndani ya CCM kuna watu wazuri wachache na vilaza majuha kibao!. Ili upite CCM lazima ufanye mambo fulani!, mimi ni mkweli toka ndani ya nafsi yangu, nikashikilia msimamo wangu sifanyi jambo lolote kinyume na Dhamira yangu ili kununua uongozi!, sikunyoosha mkono kumuona mjumbe yeyote!, na matokeo ni mkono mtupu haulambwi!. Nilivuna nilichopanda, nikaambulia kura 1!, tena nahisi kura hiyo itakuwa ni kura ya Mwanamke, atakuwa kavuta mpunga wa wenye mikono mirefu, halafu kura akanigawia mimi!, usikute ni mmoja wa wale wadada wa kwenye mambo yetu yale...!.
P
Unafanya nini huko kwenye hiyo CCM ya vilaza, wala rushwa, mafisadi, waongi, washirikina!!???
 
Mambo Yako hv huku mwanza
IMG-20230121-WA0022.jpg


Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Kipenda roho, kiukweli kabisa kuna baadhi ya Watanzania wanaoumizwa genuinely na mambo ya hovyo ya serikali yetu Bunge letu na Mahakama zetu!....

[emoji23][emoji23][emoji23] mambo yenu gani mkuu !! Ila my advice to you bro achana na CCM ! Hicho chama ni balaa kubwa katika taifa hili ! To associate yourself with it is seriously turnishing your otherwise good public image you command! Bora tu uwe neutral! CCM NI “ MAJAMBAZI “ MAKUBWA ! Umasikini mkubwa wa watanzania ni matokeo ya moja kwa moja ya CCM na Serikali Yake NI WATU WABAYA SANA TENA MNOOOO !
 
Nimewahi andika humu kitambo kuwa uchaguzi 2025 unaweza kuota mbawa bt watu hawaoni mbali na mbele,

Nani ajuaye ikiwa Sa100 ataruhusu Tume huru ya Uchaguzi itakayoruhusu matokeo ya Urais kuhojiwa mahakamani[emoji15][emoji15][emoji15]
Kwahiyo ushauri wako ni upi?
 
Kuna aina tatu za photograph.

Horizontal, Oblique na Vertical.

Hapa naona CDM wanatuletea Horizontal hii maana yake hakuna watu. 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom