Mwendelezo wa hujuma dhidi ya Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan

Kwa hiyo Kwanza ndugu zimmerman umekiri kuwepo kwa inayoitwaSukuma gang,kama uwepo wa hiyo gang ni juhudi za kulikwamisha taifa na uongozi wake,hivyo ishauri hiyo Gang kuhamia awamu ya sita.
 
Hao kitengo wanachoweza ni kuisadia CCM kuiba kura tu
 
Acha maneno ya kipumbavu ndugu. Sukuma gang ndiyo nini.

wewe sema waliokua wamezoea kupiga toka enzi za nyuma wanajaribu kumbeep Mama waone atafanya nini maana ubaya ktk nchi hii ni wa enzi na enzi,we unataka kusingizia wasio husika

shwain
 
Mkuu, take it easy..Haya mambo ya Sukuma Gang ni upuuzi ulioanzishwa na Kigogo ila hapa JF moderator wakashindwa kudhibiti likanea na kulets chukl.
Lakini kitu kimoja ambacho ni certain Magufuli alikuwa aki amplify haya mambo ya makabila kuliko Rais yoyote, ndio Rais aliyekuwa akipiga kampeni kwa kilugha chake na kuongea kwenye Tv kilugha, pia alipenda kutaja sana makabila ya wateule wake kila mara, jambo ambalo halikuwa na afya, sisi wote ni Watanzania
 
Reactions: mmh
Walumu moderator wa JamiiForums Hii nchi ina wajinga wengi na mitandao ndio imrkuwa ikikuza sana huu ujinga.

Hiyo term ya Sukuma Gang mimi sijawahi kuitumia na naipinga sana.
Japo mimi sikumkubali Magufuli sikuwahi kuhusisha kasoro zake na kabila lake
 
Reactions: mmh
Acha maneno ya kipumbavu ndugu. Sukuma gang ndiyo nini.

wewe sema waliokua wamezoea kupiga toka enzi za nyuma wanajaribu kumbeep Mama waone atafanya nini maana ubaya ktk nchi hii ni wa enzi na enzi,we unataka kusingizia wasio husika

shwain
Kwa kawaida aliyependa kweli,chongo ataita kengeza, hivyo katika mazingira fulani ni kujali maslahi ya wengi kuliko yale binafsi.
 
Jpm alitoka jamii kubwa na alifanya mengi makubwa, msipokuwa makini mtafanya bibi yenu augue presha kwa hofu ya kivuli cha jpm. Na hata mseme mte na nguo, aliyoyaacha jpm yanamtetea popote.
Watu wasiojulikana ni jambo kubwa sana, nakiri kweli mama hili la kuwa na makundi ya watu wasiojulikana ili kutesa wanaomkosoa mama haliwezi, yeye anaweza haki tu, utu na maendeleo ya kweli
 
Akili hazikutoshi au wewe ni kipofu,mala nyingi watu wa aina yako ni yale mafisadi yaliyo minywa,matajiri makwepa kodi,na vyeti feki....ninyi ndo mmekazana sana kujaribu kuaminisha umma kua JPM alikua hafai,nakuambieni wananchi wengi 85% ama 90% walimuona JPM ni mkombozi na mwana mapinduzi mpigania haki.

Tulikuaga tumechoka na watu mijini wanakwambia tu "ntakufunga mimi" na kweli wanakufunga,bila kosa..wakwepa kodi walishirikiana na maafisa walio ajiliwa kunyonya haki za masikini,maofisini kulikua ni miungu watu,kupata tu hati ya kiwanja ilikua ni kama unatafuta figo lakini Kia JPM yote yaliwezekana,kuheshimiana kukarudi,haki ikaanza kuonekana,afu wewe unakuja kutuambia nini hapa?
 

Alikua Mkombozi kwa kuwafanya kuwa Masikini zaidi, hakuna lolote
 

Hafai hata kaburini
 
Kwa hiyo Kwanza ndugu zimmerman umekiri kuwepo kwa inayoitwaSukuma gang,kama uwepo wa hiyo gang ni juhudi za kulikwamisha taifa na uongozi wake,hivyo ishauri hiyo Gang kuhamia awamu ya sita.
Binafsi siamini kama kuna watu wanamfanyia hujuma mama. Ila ninachokitathmini ni kwamba kuna watu walibanwa sana enzi za JPM na kifo chake ni afueni kwao kuanza kuitafuna nchi. Hao watafunaji ndio mnawaita Sukumagang?
 
Kazi ipo, nashauri kuanzishwe vituo cha jeshi kwenye mabwawa yote kama ilivyo Kidatu
 
Hivi unajua mwaka 2012 wasukuma walikua milioni 17 Kati ya watanzania milioni 45 kwa mujibu wa sensa ya serikali? Projection mpaka sasa wasukuma wanaround 50% ya raia. Anayewapotosha anawaponza sana.
Mmehama kwenye utanzania mnakwenda kwenye ukabila
 
Sio TISS CCM
 
Duuu wapinzani wako pembeni wanawaangalia tu mnavyohangaishana, mwishowe mtakuwa kama wake intarahamwe wa Burundi. Ccm bana
 
Tutampa mitano tena... atake asitake...

Atakayeumia na uamuzi wetu akamate kitanzi ajinyonge amfuate bwana yule
Blaza nchi ina furaha sana toka liondoke lile Nyangumi..
Nafanya mpango kutafuta mjiwe mkubwa kama ya pale mtoni UASHI na kulisafirisha mpaka kule ulikokuwa mji pendwa na kwenda kuliweka juu ya kaburi lake ili hata akitaka kufufuka iwe shida yaani.
 
Hakuna tulichokipata kwake yule jamaa zaidi ya hofu ya kutekwa na kupigwa risasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…