Mwendelezo wa hujuma dhidi ya Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan

Vyombo vya usalama hasa Toss wanafanya Kazi gani hadi haya mambo yanatokea?

Afu Rais asafishe wapuuzi wote wahujumu sio wakuchekewa
 

Hivi huku kujenga kwako hoja kwa kutumia lugha ya kuudhi na matusi ni kwa sababu tu hujafurahishwa na maoni na mtazamo wa mwenzio..?

Really? Really? Lol....!!

Kwani uki - counter attack hoja yake kwa lugha ya kawaida tu huwezi kueleweka..? Ungepungukiwa nini eti..?

Japo sikufahamu kabisa, lakini kwa uandishi wako huu I can easily describe you as a disrespectful, weak, coward & arrogant person...!!
 
Sukuma gang ni kinanani hasa,manaka hata mama alikuwa sehemu ya utawala wa mwendazake na aliye shinikiza kusimamishwa kazi watumishi wa Tanesco ni PM nae ni sehemu ya utawala wa mwenda zake?
 
Sina uhakika kama ni jambo lililopangwa; kama ndivyo basi niwarejeshe ma Architects wanaotingisha kiberiti kuwa KIMEJAA!
 
Hao unaowaagiza unawaaminije , hawa si ndio waliongoza magenge ya utekaji wakati wa mwendazake ? tukiwaita kuwa ni wafuasi wa jiwe wanaosaidia kuhujumu awamu hii tutakosea ?
 
Wazungu hawakufika elfu kumi wakatutawala watanganyika nchi nzima... hao acha wasambae nchi nzima, watatusaidia kutubebea mizigo...
Akumbushwe pia kuwa mwarabu mmoja na bunduki moja alikuwa answaga wasukuma 100 peke yake toka usukumani hadi Bagamoyo.
Njiani akitaka kupumzika anampa bunduki mmojawapo awalinde wenzie halafu anatafuta sehemu analala. Akiamka anachukua bunduki yake na msafara unaendelea.[emoji2][emoji2]
 
Kumbe hata huu Ujambazi wa sikuhizi umerudi kwa nguvu ya sukuma gang
 
Hahaha, raha aliyonayo mh Rais Samia ni kwamba, popote atakaposhindwa, itasingiziwa SukumaGang.

Na akilikubali hii dhana, itamharibia sana.
Mama ana vita Kali sana, kwa sababu mwenda zake alitengeneza system yake maalum ndani ya nchi iliyokuwa ikineemeka vilivyo,sasa system hile mpaka sasa imebaki njia panda,japo bado ipo ndani ya serekali kwa 90%,mashushu walikuwa kila pahala mpaka kwa wauza kahawa ukiongea la kumchukiza bwana mkubwa shida unayo!....
MERCIFUL LORD BE WITH TANZANIAN.
 
RAIS SAMIAH (2021--2030) PIGA UWA,CHAMA KIMERUDI MIKONO SALAMA, MAREKEBISHO YA KUKIBORESHA YANAENDELEA STAY TUNE,CCM HAITAKOSEA TENA.
 
Mama anakazi kubwa sana kufanya kazi na hili kundi la jiwe hajajua tu .
Una Matatizo ya kufikilia, utakuwa wewe si Mtanzania. Watanzania hatuna hizo biashara za Ukabila/Ukanda labda huko kwenu ambako mnetengeneza Makabila kimkakati kama huko Kenya, Burundi, Rwanda, N.k.
Cc Watanzania tuliisha ikataa Dhana ya kujadili Makabila na nina uhakika hata viongozi wa Mataifa yanayotuzunguka wanaelewa ubaya huo Ukabila.
Jione unavyokurupuka: Unasema watu wa Mwenda zake wanamhujumu Mama kwani Mama Mwenyewe siyo wa Mwendazake, Unasema hatendewi haki na Wasukuma kwani Wasukuma siyo Wananchi wake, Unasema Usalama wa Taifa watupie Macho kwani humo Wasukuma hawamo kwenye ulinzi wa Rasilimali za nchi yao pendwa.
Hapa kuna Kakikundi kanaitwa Kujipendekeza group kana kiherehere kwelikweli.
 
Kama hoja hii kuna watu wataishadidia kuwa ni kweli, basi ni sahihi kwa watu wengine kuishadidia kuwa ni kweli ile hoja ya Veronica Frances kuhusu kifo cha JPM!
 
ndio maana anawaondoa mmoja mmoja hili kundi ni baya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…