Hiyo ni kuficha aibu tu kwa sababu wanajua hiyo amri ni ngumu kutekelezeka.I
Wale mliokuwa mnahoji kuhusu doublestandard " za mahakama ya ICC nafikiri ni muda muafaka tufunge mjadala!
Sheria ni msumeno...Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, ametoa maombi ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kiongozi wa Hamas katika Ukanda wa Gaza kwa uhalifu wa kivita.
Mwendesha mashtaka, Karim Khan KC alisema kuna sababu za msingi za kuamini kwamba Netanyahu na kiongozi wa Hamas, wamehusika katika uhalifu wa kivita na kukiuka haki za kibinadamu.
Waziri wa ulinzi wa Israel Yoav Gallant na kiongozi wa kisiasa wa Hamas Ismail Haniyeh, mkuu wake wa jeshi Mohammed Deif pia wamo kwenye maombi hayo.
Aljazeera analysisMwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, ametoa maombi ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kiongozi wa Hamas katika Ukanda wa Gaza kwa uhalifu wa kivita.
Mwendesha mashtaka, Karim Khan KC alisema kuna sababu za msingi za kuamini kwamba Netanyahu na kiongozi wa Hamas, wamehusika katika uhalifu wa kivita na kukiuka haki za kibinadamu.
Waziri wa ulinzi wa Israel Yoav Gallant na kiongozi wa kisiasa wa Hamas Ismail Haniyeh, mkuu wake wa jeshi Mohammed Deif pia wamo kwenye maombi hayo.
Aljazeera analysisNetanyahu ndio mwisho wake kabaki kubweka tu
Taarifa yako haijaikamilika kwa sababu hujamtaja Sinwar, Mohammed Deif na Ismail Haniyeh ambao mashitaka yao ni pamoja na uharifu zidi ya binadamu, kuua, kuteka na kutesa watu n.k
Netanayhu basi tenaTaarifa yako haijaikamilika kwa sababu hujamtaja Sinwar, Mohammed Deif na Ismail Haniyeh ambao mashitaka yao ni pamoja na uharifu zidi ya binadamu, kuua, kubaka, kuteka na kutesa watu n.k
Yahudi jeusi wa Kashai.
Shughuli imeisha hiyo.Netanyahu ndio mwisho wake kabaki kubweka tu
Nimeona hapo kesi ni Netanyahu hao viongozi wa Hamas funika kumbe hawana cha kupoteza.Three Hamas leaders hujaona kwenye taarifa yako uliyoambatisha?
Ebu soma kwanza uelewe kabla ya kukurupuka kama umechomekwa nyuma.
Hiyo kesi si lolote si chochote kwa Israel na hata hao Hamas ni katika tu hiyo mahakama kutimiza wajibu waoPMbona Ismail Haniya anakula Bata huko Qatar mbona nae hakamatwi?
Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, ametoa maombi ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kiongozi wa Hamas katika Ukanda wa Gaza kwa uhalifu wa kivita.
Mwendesha mashtaka, Karim Khan KC alisema kuna sababu za msingi za kuamini kwamba Netanyahu na kiongozi wa Hamas, wamehusika katika uhalifu wa kivita na kukiuka haki za kibinadamu.
Waziri wa ulinzi wa Israel Yoav Gallant na kiongozi wa kisiasa wa Hamas Ismail Haniyeh, mkuu wake wa jeshi Mohammed Deif pia wamo kwenye maombi hayo.
Wamkamate Putin kwanza hao mashoga. Si Kuna warrant kwa Putin.l wameitoa.