Mwendesha Mashkata wa ICC aomba Hati ya Kukamatwa kwa Netanyahu na Waziri wake wa ulinzi kwa uhalifu wa kivita huko Palestine

Sasa kama una mavi kichwani usiambiwe?
Kwa huu uharo unao uandika hapa unaweza kusema kichwani mwako kuna ubongo kweli?

๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒEti nimeze wembe hiyo michambo yako huwa inasikika kwenye masaloon ya wanawake ,mwanaume kamili hawezi kumwambia mwanaume mwenzie eti ameze wembe ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ.
Mnyamitusi katika ubora wako
 
Mnyamitusi katika ubora wako
Mwanaume anajibu hoja na sio kutoa mipasho kama wamama wa salon .

Eti rais wa Iran amekufa kwa sababu ya uadui wake na Israel kwahiyo ww rafiki yao utaishi milele?au huyo takataka na katili Netanyau hatakufa?

Aliye sema urokole ni ugonjwa wa akili kumbe alikuwa sawa, na ndio maana nchi nyingi zinazo jielewa zilisha upiga marufuku maana unawafanya watu kuwa wapumbavu.
 
Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, ametoa maombi ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kiongozi wa Hamas katika Ukanda wa Gaza kwa uhalifu wa kivita.

Mwendesha mashtaka, Karim Khan KC alisema kuna sababu za msingi za kuamini kwamba Netanyahu na kiongozi wa Hamas, wamehusika katika uhalifu wa kivita na kukiuka haki za kibinadamu.

Waziri wa ulinzi wa Israel Yoav Gallant na kiongozi wa kisiasa wa Hamas Ismail Haniyeh, mkuu wake wa jeshi Mohammed Deif pia wamo kwenye maombi hayo.

Wacha tuone mwisho
 
Mwanaume anajibu hoja na sio kutoa mipasho kama wamama wa salon .

Eti rais wa Iran amekufa kwa sababu ya uadui wake na Israel kwahiyo ww rafiki yao utaishi milele?au huyo takataka na katili Netanyau hatakufa?

Aliye sema urokole ni ugonjwa wa akili kumbe alikuwa sawa, na ndio maana nchi nyingi zinazo jielewa zilisha upiga marufuku maana unawafanya watu kuwa wapumbavu.
hoja utakuwa nazo wewe maamuma mnyamitusi?
 
Mwanaume anajibu hoja na sio kutoa mipasho kama wamama wa salon .

Eti rais wa Iran amekufa kwa sababu ya uadui wake na Israel kwahiyo ww rafiki yao utaishi milele?au huyo takataka na katili Netanyau hatakufa?

Aliye sema urokole ni ugonjwa wa akili kumbe alikuwa sawa, na ndio maana nchi nyingi zinazo jielewa zilisha upiga marufuku maana unawafanya watu kuwa wapumbavu.
Daaah
 
1. Bila quotes tutakuuliza who the hell are you?

2. Ukitaka kusema kama wewe uweke ka CV tuone. Kakiwapo humo ka u PhD, u Prof, au ka Nobel tutakuwa tunakuelewa.

3. Kwamba source ni wewe kidampa fulani pale Tandale, kwa hakika unachosema kitakuwa ushuzi kama mwingine wowote!

4. Kuna hii mbuzi meme nyingine huku (Manny de Bwoy) inadhani nobeli ni kama leseni ya boda boda. ๐Ÿคฃ
Bila shaka una hitilafu Fulani kichwani, toa hoja kama binadamu mwenye akili acha mipasho kama mamaake Zuchu
 
Unadhani ukiita watu mbuzi ndiyo utashinda hoja.. we jibwa la wapi
 
Bila shaka una hitilafu Fulani kichwani, toa hoja kama binadamu mwenye akili acha mipasho kama mamaake Zuchu

F6kGqZLXMAATAgq.jpeg

Hitilafu fulani kichwani mwako uione je sasa?
 
Kukamata magaidi wa hamas hakuna hati! Walioua hadi wanafunzi wa kitanzania mchana kweupe Mollel na Mtenga. Hao ICC wapuuzwe tu.
 
Back
Top Bottom