Mwendesha Mashkata wa ICC aomba Hati ya Kukamatwa kwa Netanyahu na Waziri wake wa ulinzi kwa uhalifu wa kivita huko Palestine

Kituo kifuatacho Yahya Sinwar

1. Kinachofuata hata ikiwa mimi mbona poa tu? Ila mchumba kwanza!

2. Kwani ipo mahakama huru na ya haki kuliko ICC? Si aende huko akajisafishe kama yeye ni msafi?

3. Kumbe aogopa nini sasa?
 
Aljazeera analysis
Israel is not a member of The Hague-based court, and even if the arrest warrants are issued, Netanyahu and Gallant do not face any immediate risk of prosecution.

Out of the three Hamas leader against whom arrest warrant has been sought, two of them – Yahya Sinwar and Mohammed Deif – are in Gaza. But Ismail Haniyeh, the political head of Hamas, is based in Qatar and frequently travels across the region.
ICC Prosecutor Karim Khan seeks arrest warrants for Yahya Sinwar, the leader of Hamas, Mohammed Diab Ibrahim al-Masri, chief of the military wing of Hamas, the Qassam Brigades, and Ismail Haniyeh, the head of Hamas’s political bureau.

He said they bear criminal responsibility for the following war crimes and crimes against humanity committed in Israel and Gaza from at least October 7
Hamas charges;

  • Extermination as a crime against humanity
  • Murder as a crime against humanity
  • Taking hostages as a war crime
  • Rape and other acts of sexual violence as crimes against humanity and as war crimes in the context of captivity
  • Torture as a crime against humanity and also as a war crime in the context of captivity
  • Other inhumane acts as a crime against humanity in the context of captivity
  • Cruel treatment as a war crime in the context of captivity
  • Outrages upon personal dignity as a war crime in the context of captivity
 
Mzee wa quotations una vituko sana.What the hell can Belgique do to Israel,let alone Netanyahu himself?

1. Bila quotes tutakuuliza who the hell are you?

2. Ukitaka kusema kama wewe uweke ka CV tuone. Kakiwapo humo ka u PhD, u Prof, au ka Nobel tutakuwa tunakuelewa.

3. Kwamba source ni wewe kidampa fulani pale Tandale, kwa hakika unachosema kitakuwa ushuzi kama mwingine wowote!

4. Kuna hii mbuzi meme nyingine huku (Manny de Bwoy) inadhani nobeli ni kama leseni ya boda boda. 🤣
 
JamiiForums

Mwendesha Mashkata wa ICC aomba Hati ya Kukamatwa kwa Netanyahu na Waziri wake wa ulinzi kwa uhalifu wa kivita huko Palestine​

1 of 3Next Last
Unsubscribe
•••
K

kipumbwi

JF-Expert Member​

Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, ametoa maombi ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kiongozi wa Hamas katika Ukanda wa Gaza kwa uhalifu wa kivita.

Mwendesha mashtaka, Karim Khan KC alisema kuna sababu za msingi za kuamini kwamba Netanyahu na kiongozi wa Hamas, wamehusika katika uhalifu wa kivita na kukiuka haki za kibinadamu.

Waziri wa ulinzi wa Israel Yoav Gallant na kiongozi wa kisiasa wa Hamas Ismail Haniyeh, mkuu wake wa jeshi Mohammed Deif pia wamo kwenye maombi hayo.

Thanks Quote Reply
Report
Reactions:Smart911, brazaj and Sun Zu
F

Freed Freed

JF-Expert Member​

Kimeumana, ngoja tuone kama maharaja hii ni ya Africa tu au ni dunia yote?

Thanks Quote Reply
Report
Reactions:Adiosamigo, kp kipanya44 and Sun Zu
[IMG alt="kp kipanya44"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/669/669520.jpg?1666862158[/IMG]

kp kipanya44

JF-Expert Member​

Wale mliokuwa mnahoji kuhusu "doublestandard " za mahakama ya ICC nafikiri ni muda muafaka tufunge huu mjadala!

Thanks Quote Reply
Report
Reactions:NgerukeAbra, Mzee makoti, Proved and 2 others
[IMG alt="ITR"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/685/685423.jpg?1711342682[/IMG]

ITR

JF-Expert Member​

Hiyo ni kuficha aibu tu kwa sababu wanajua hiyo amri ni ngumu kutekelezeka.
Ila hilo ni doa kwa nchi husika.

Thanks Quote Reply
Report
Reactions:Adiosamigo
E

Embezzler

JF-Expert Member​

Huyu Khan amemuagiza Nani?
Magufuli alikua anawaagiza ma RPC, huyu mwamba anataka Nani ajichuuze aende Tell Aviv akafanywe asusa?
Huyu Khan amesoma magazeti ya Leo kuhusu Iran?

Thanks Quote Reply
Report
A

Adiosamigo

JF-Expert Member​

Netanyahu ndio mwisho wake kabaki kubweka tu

Thanks Quote Reply
Report
Reactions:The Icebreaker, MFALME WETU, Mzee makoti and 1 other person
[IMG alt="Proved"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/506/506196.jpg?1652696309[/IMG]

Proved

JF-Expert Member​

Sheria ni msumeno...

Thanks Quote Reply
Report
S

salari

JF-Expert Member​

Aljazeera analysis
Israel is not a member of The Hague-based court, and even if the arrest warrants are issued, Netanyahu and Gallant do not face any immediate risk of prosecution.

Out of the three Hamas leader against whom arrest warrant has been sought, two of them – Yahya Sinwar and Mohammed Deif – are in Gaza. But Ismail Haniyeh, the political head of Hamas, is based in Qatar and frequently travels across the region.
ICC Prosecutor Karim Khan seeks arrest warrants for Yahya Sinwar, the leader of Hamas, Mohammed Diab Ibrahim al-Masri, chief of the military wing of Hamas, the Qassam Brigades, and Ismail Haniyeh, the head of Hamas’s political bureau.

He said they bear criminal responsibility for the following war crimes and crimes against humanity committed in Israel and Gaza from at least October 7
Hamas charges;

  • Extermination as a crime against humanity
  • Murder as a crime against humanity
  • Taking hostages as a war crime
  • Rape and other acts of sexual violence as crimes against humanity and as war crimes in the context of captivity
  • Torture as a crime against humanity and also as a war crime in the context of captivity
  • Other inhumane acts as a crime against humanity in the context of captivity
  • Cruel treatment as a war crime in the context of captivity
  • Outrages upon personal dignity as a war crime in the context of captivity

1. Israel ni Ulaya. Mshaurini huyu ndugu akasabahi Brussels:

IMG_20240520_184945.jpg

2. Wanaume wako huko wanasubiri wachumba:
 
1. Bila quotes tutakuuliza who the hell are you?

2. Ukitaka kusema kama wewe uweke ka CV tuone. Kakiwapo humo ka u PhD, u Prof, au ka Nobel tutakuwa tunakuelewa.

3. Kwamba source ni wewe kidampa fulani pale Tandale, kwa hakika unachosema kitakuwa ushuzi kama mwingine wowote!

4. Kuna hii mbuzi meme (Manny de Bwoy) inadhani nobeli ni kama leseni ya boda boda.
Ukihitaji hayo kutakuwa hakuna maana ya fake id.Bora nije tu nimevaa kaboka langu kavu kama ngozi ya ng'ombe nganga.
NB;Jamaa zako wanapigika king'ombe!
 
Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, ametoa maombi ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kiongozi wa Hamas katika Ukanda wa Gaza kwa uhalifu wa kivita.

Mwendesha mashtaka, Karim Khan KC alisema kuna sababu za msingi za kuamini kwamba Netanyahu na kiongozi wa Hamas, wamehusika katika uhalifu wa kivita na kukiuka haki za kibinadamu.

Waziri wa ulinzi wa Israel Yoav Gallant na kiongozi wa kisiasa wa Hamas Ismail Haniyeh, mkuu wake wa jeshi Mohammed Deif pia wamo kwenye maombi hayo.

Naona Hataki kazi huyo
 
Ukihitaji hayo kutakuwa hakuna maana ya fake id.Bora nije tu nimevaa kaboka langu kavu kama ngozi ya ng'ombe nganga.
NB;Jamaa zako wanapigika king'ombe!

1. Sasa kwa vile na fake ID hatujuani, tusiache kuweka quotes kuthibitisha kuwa sisi si ng'ombe!

2. Nikadhani mang'ombe ni wale waliokuwa wakiwaita wengine ni magaidi na sasa wamepata "wito kamili!"

3. Kwa hakika hiyo #2 imetufariji wapenda haki wengi mno.

4. Kwamba mlipo mnajisemea "hiiiiiiiiii...iii!" 🤣

5. Mungu atupe nini Yarabi?
 
Maneno ya kwenye khanga hayo wanaume wanaendelea kusafisha palestina kwanza leo 85 wamesafishwa

Subiri kiive ICC halafu kama yeye kidume mmwambie ajifanye kama kapotea njia afike hata pande the Antwerp tu, halafu mtuletee mrejesho.
 
Unategemea ICC ibweke mbele ya taifa Teule la Israel pole endelea kusubiri kama hizo mahakama zinashindwa kubweka mbele ya Putin sembuse Israel! Hivi si Israel iliambiwa isitishe vita na UN resolution na mkafurahi sanaa humu wapalestina wa kwa mpalange, mchambawima, mwembetogwa, kibandamaiti, je kwa ground nini kinaendelea huko Israel imesitisha vita?
 
Kwani paka Nyau au Gallant wanasema je?
 
Unategemea ICC ibweke mbele ya taifa Teule la Israel pole endelea kusubiri kama hizo mahakama zinashindwa kubweka mbele ya Putin sembuse Israel! Hivi si Israel iliambiwa isitishe vita na UN resolution na mkafurahi sanaa humu wapalestina wa kwa mpalange, mchambawima, mwembetogwa, kibandamaiti, je kwa ground nini kinaendelea huko Israel imesitisha vita?neta
Ww jamaa una mavi kichwani ,sasa huyo Netanyau ana kipi cha ziada kumzidi Putin zaidi ya kujificha kwenye matako ya viongozi wa Marekani?

Putin ni kiongozi wa taifa kubwa kiuchumi na kijeshi ulimwenguni ,wakati Netanyau ni kiongozi wa kijitaifa ambacho kinategemea na kunaishi kwa misaada kama nchi inayo ongozwa na CCM.

Netanyau unatakiwa kumuweka kundi moja na akina Samia,Museven,na Chisheked maana wote ni viongozi wa vijitaifa masikini.
 
Hamna kitu hapo wameshindwa mkamata Mseveni wataweza Netanyahu
Sasa mseven na Netanyau wana tofauti gani? Wote so ni viongozi wa vijitaifa masikini vinavyo ishi kwa misaada.
 
We huijui Israel,cheki bajeti yake kwanza kisha uje kuongea huo upimbi.
 
Ww jamaa una mavi kichwani ,sasa huyo Netanyau ana kipi cha ziada kumzidi Putin zaidi ya kujificha kwenye matako ya viongozi wa Marekani?

Putin ni kiongozi wa taifa kubwa kiuchumi na kijeshi ulimwenguni ,wakati Netanyau ni kiongozi wa kijitaifa ambacho kinategemea na kunaishi kwa misaada kama nchi inayo ongozwa na CCM.

Netanyau unatakiwa kumuweka kundi moja na akina Samia,Museven,na Chisheked maana wote ni viongozi wa vijitaifa masikini.
Hahahaaaaa
 
Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, ametoa maombi ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kiongozi wa Hamas katika Ukanda wa Gaza kwa uhalifu wa kivita.

Mwendesha mashtaka, Karim Khan KC alisema kuna sababu za msingi za kuamini kwamba Netanyahu na kiongozi wa Hamas, wamehusika katika uhalifu wa kivita na kukiuka haki za kibinadamu.

Waziri wa ulinzi wa Israel Yoav Gallant na kiongozi wa kisiasa wa Hamas Ismail Haniyeh, mkuu wake wa jeshi Mohammed Deif pia wamo kwenye maombi hayo.

Je nchi ambayo si mwanachama wa ICC wanaweza wanaweza kuishitaki?
Huyo mwendesha mashtaka wa mahakama ya ICC na majaji wake maisha yao wajiangalie wakiendelea kushikilia shilingi, wakumbuke kuna Mossad kule,
Wawaulize Wairan baadhi ya wanasayansi wao wa mambo ya Nyuklia nini kilikuwa kinawapata.
 
We huijui Israel,cheki bajeti yake kwanza kisha uje kuongea huo upimbii
Ww una dhani mpaka nasema hivyo nilikuwa siijui hiyo bajeti yake?
Kwani Israel hapokei msaada ya kiuchumi kutoka nchi za Magharibi kama Tz?
 
Nya mitusi kama kawaida yako pole sana kama post imekuuma meza wembe

Sasa kama una mavi kichwani usiambiwe?
Kwa huu uharo unao uandika hapa unaweza kusema kichwani mwako kuna ubongo kweli?

😃😃😃😃Eti nimeze wembe hiyo michambo yako huwa inasikika kwenye masaloon ya wanawake ,mwanaume kamili hawezi kumwambia mwanaume mwenzie eti ameze wembe 😃😃😃😃.
 
Back
Top Bottom