Mnyamitusi katika ubora wakoSasa kama una mavi kichwani usiambiwe?
Kwa huu uharo unao uandika hapa unaweza kusema kichwani mwako kuna ubongo kweli?
ππππEti nimeze wembe hiyo michambo yako huwa inasikika kwenye masaloon ya wanawake ,mwanaume kamili hawezi kumwambia mwanaume mwenzie eti ameze wembe ππππ.
Muulize Raisi utakapoonana naye
Mwanaume anajibu hoja na sio kutoa mipasho kama wamama wa salon .Mnyamitusi katika ubora wako
Wacha tuone mwishoMwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, ametoa maombi ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kiongozi wa Hamas katika Ukanda wa Gaza kwa uhalifu wa kivita.
Mwendesha mashtaka, Karim Khan KC alisema kuna sababu za msingi za kuamini kwamba Netanyahu na kiongozi wa Hamas, wamehusika katika uhalifu wa kivita na kukiuka haki za kibinadamu.
Waziri wa ulinzi wa Israel Yoav Gallant na kiongozi wa kisiasa wa Hamas Ismail Haniyeh, mkuu wake wa jeshi Mohammed Deif pia wamo kwenye maombi hayo.
hoja utakuwa nazo wewe maamuma mnyamitusi?Mwanaume anajibu hoja na sio kutoa mipasho kama wamama wa salon .
Eti rais wa Iran amekufa kwa sababu ya uadui wake na Israel kwahiyo ww rafiki yao utaishi milele?au huyo takataka na katili Netanyau hatakufa?
Aliye sema urokole ni ugonjwa wa akili kumbe alikuwa sawa, na ndio maana nchi nyingi zinazo jielewa zilisha upiga marufuku maana unawafanya watu kuwa wapumbavu.
DaaahMwanaume anajibu hoja na sio kutoa mipasho kama wamama wa salon .
Eti rais wa Iran amekufa kwa sababu ya uadui wake na Israel kwahiyo ww rafiki yao utaishi milele?au huyo takataka na katili Netanyau hatakufa?
Aliye sema urokole ni ugonjwa wa akili kumbe alikuwa sawa, na ndio maana nchi nyingi zinazo jielewa zilisha upiga marufuku maana unawafanya watu kuwa wapumbavu.
Bila shaka una hitilafu Fulani kichwani, toa hoja kama binadamu mwenye akili acha mipasho kama mamaake Zuchu1. Bila quotes tutakuuliza who the hell are you?
2. Ukitaka kusema kama wewe uweke ka CV tuone. Kakiwapo humo ka u PhD, u Prof, au ka Nobel tutakuwa tunakuelewa.
3. Kwamba source ni wewe kidampa fulani pale Tandale, kwa hakika unachosema kitakuwa ushuzi kama mwingine wowote!
4. Kuna hii mbuzi meme nyingine huku (Manny de Bwoy) inadhani nobeli ni kama leseni ya boda boda. π€£
Unadhani ukiita watu mbuzi ndiyo utashinda hoja.. we jibwa la wapi1. Bila quotes tutakuuliza who the hell are you?
2. Ukitaka kusema kama wewe uweke ka CV tuone. Kakiwapo humo ka u PhD, u Prof, au ka Nobel tutakuwa tunakuelewa.
3. Kwamba source ni wewe kidampa fulani pale Tandale, kwa hakika unachosema kitakuwa ushuzi kama mwingine wowote!
4. Kuna hii mbuzi meme nyingine huku (Manny de Bwoy) inadhani nobeli ni kama leseni ya boda boda. π€£
Bila shaka una hitilafu Fulani kichwani, toa hoja kama binadamu mwenye akili acha mipasho kama mamaake Zuchu
Unadhani ukiita watu mbuzi ndiyo utashinda hoja.. we jibwa la wapi
Na ukiwa kichaa pia hujijui unaona wenzio ndiyo vichaa wewe Uko sawa, hakunaga Gaidi mwenye akili timamu