Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
uacheni mwenge wa uhuru uendelee kuliangaza taifa.Wajuzi wa mambo tuelezeni faida na hasara za mwenge wa Uhuru kwa maana na kukimbizwa nchi nzima je kuna sababu bado ya umuhimu wa kuendelea kuwepo na mbio za mwenge au nao ni JIPU.