Wakuu wa JF naombeni msaaada,
Hivi ni ipi faida za mwenge mimi naona kama ni hasara tuu, Maana kila nikitafakari sipati majibu ya faida za uwepo wa Mwenge, naona tu hasara kwa sababu ni fedha za umma zinatumika kuwalipa wale wanaozunguka na huo Mwenge