Itafutwe Tu Namna Ya Kuuenzi Huu Mwenge Na Si Hii Tulonayo.

Mwenge Ufungue Miradi Hata Ukiwa Dar Then Mwaka Unaofuata Arusha, Kigoma Na Kwingineko.

Lengo Ufungue Miradi Sio Lazma Ukimbizwe Nchi Nzima, Unaweza Tu Kuazimishwa Hapa Kisha Kule Wakafungua Miradi.
 
Lakin kiujumla kwa sasa mwenge hauna faida mwana namtumbo mwenzangu, iz9 ulizomention hapo ni faida za zaman
 
Mwenge uhifadhiwe makumbusho ya taifa.Haina umuhimu wowote,tusidanganyane.
 
kwani mkuu hiyo miradi lazima izunduliwe na mwenge?! hatuwezi kufanya na kuzindua miradi mpaka mwenge ufike?
Ulishawahi kufikiria kwani nini mkuu wa Wilaya, Mkoa, Waziri ama Rais anazindua mradi?
 
Nikuulize wewe unayesema umeishi Namtumbo, Ruvuma.....hivi hapo Namtumbo ukiwa na milioni 2, wewe binafsi hakuna mradi unaweza ukafanya?! Milioni 2 mkoani, tena Namtumbo ambaye nimepata kukaa, ni pesa ndefu mno, mno😱
Unaongelea mradi wa kuuza vitumbua au mradi gani?
 
Walikuja has shule niliyopo etc kuzindua mizinga ya nyuki kumi tu hahahahaaaaa
 
Sasa huo Mwenge utafunguaje miradi bila kuzunguka/ kukimbizwa?
 
Sasa huo Mwenge utafunguaje miradi bila kuzunguka/ kukimbizwa?
Kuwe Na Mwenge Wa Mkoa Mkuu Au Hata Huu Mmoja Uazimishwe May Be Arusha Kisha Miradi Yote Tz Hufunguliwa Na Wakuu Wa Mikoa Au Wengineo.
 
Mwenge ukimbizwe dadoma tu inatosha mikoa mingine wakitaka kuuona waangalie taarifa za habar.
 
Ifutwe tu!mwenge inatiaa hasara tu,inaongeza magonjwa tu ikiwemo ukimwi,wakati wa mbio za mwenge watu wanachapana hadi kupeana mimba na kufanya watoto wanaozaliwa kutowafahamu baba zaoo
Tupaaa kule mwenge
 
Mwenge ukimbizwe dadoma tu inatosha mikoa mingine wakitaka kuuona waangalie taarifa za habar.

Uwashwe na kuzimwa kulekule kileleni kwani kuna Shida yoyote si unamulika mipaka kisha unapumzika me naona mwenge usisumbuliwe tens uwake tuu kule kule kileleni tu
 
Uwashwe na kuzimwa kulekule kileleni kwani kuna Shida yoyote si unamulika mipaka kisha unapumzika me naona mwenge usisumbuliwe tens uwake tuu kule kule kileleni tu
Hapana mkuu, barafu itaisha...dom ndio pazuri, mji mkuu wa nchi yetu[emoji2]
 
Hapana mkuu, barafu itaisha...dom ndio pazuri, mji mkuu wa nchi yetu[emoji2]

Ukiwaruhusu waushushe tu basi tayari Ni jipu njia Ni makomandoo wawili wapande na kiberiti wauwashe Kwa dk mbili ili Barafu isiyeyuke kisha wauzime tu ahahahahahahhaha no more mbwembwe
 
Kuwe Na Mwenge Wa Mkoa Mkuu Au Hata Huu Mmoja Uazimishwe May Be Arusha Kisha Miradi Yote Tz Hufunguliwa Na Wakuu Wa Mikoa Au Wengineo.
Kwanza unafahamu dhana ya Mwenge? Ukifahamu dhana ya Mwenge basi haiwezekani kabisa kufanyika hivyo unavyodhani.

Pili, huu ni Mwenge wa Uhuru hivyo haiwezekani kuwa na Mwenge wa mkoa.

Tatu, Kwa taarifa yako Mwenge ni zaidi ya huyo mkuu wa mkoa, hivyo Mwenge hauwezi kuzindua mradi halafu mkuu wa mkoa atie kidole chake pale,
Mwisho, hauzimishwi ila unakimbizwa. Asante.
 
hili nalo jipu linahitaji kutumbuliwa...hakika mzee magu angeanza na hilo kwanza maana mm binfsi sijaona faida za huo mwenge zaidi ya ufujaji tu wa pesa za wananchi walipa kodi..
 
hili nalo jipu linahitaji kutumbuliwa...hakika mzee magu angeanza na hilo kwanza maana mm binfsi sijaona faida za huo mwenge zaidi ya ufujaji tu wa pesa za wananchi walipa kodi..
Ni kiasi gani cha fedha kinafujwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…