Jana nimeona mwenge unaenda kufa hauna bashasha Kama Za zamani!
 
Kweli mkuu uliyoyanena nafikili watu yamewaingia haswaa!!tatizo namna ya kuliwasilisha na kulifikisha ikulu ndo kazi IPO.
 

Subiri wachawi na wale majuha kama LAKI si pesa waje watoe utetezi.
 
We level yako ni Kisusio cha Kitimoto, mambo ya mwenge sio level yako.
 
hii Kali ya mwaka
yaani mwenge unakuza uchumi
 
Aiseeee....wamejitahidi kubana bajeti, kuna mwaka SEIJII alisema wametumia 1.2trilion
 
Mi nashauri wangeuzindulia pale mlima Kilimanjaro ili watalii waongezeke. Wangeweka kwenye ratiba kile kipindi ambapo watalii wanakuja jwa wingi huku ndo wauwashe hivyo mtalii akianza kuoanda mlima anajua kileleni anakuta kuna mwenge mubashara
 
Ni upuuzi wa hali ya kuwa ña hilo dudé afadhali hizo pasa zingeenda kuokoa maisha ya watu huku
Vijijini kuna njaa kali
 
Ukimbizaji Mwenge usitishwe mara moja!
 
Hivi hata china hua wanaukimbiza ule wakwao ee!!! Nimeuliza tu maana hua wanasema dunia nzima ni nchi mbili pekee zinazojivunia kwa kua na mwenge wa uhuru.
 
Mimi nimeshiriki sana maandalizi ya mbio za mwenge, mtoa mada na baadhi ya wachangiaji hawana uelewa wa upatikanaji na matumizi ya pesa zinazotangazwa kwenye mbio za Mwenge.
Mwenge hautii hasara serikali, na wala hazikatwi pesa za kazi zingine eti zipelekwe kwenye Mwenge, hapana. Hata hizo sare, tunajinunulia kama vile tunavyonunua sare za sherehe zingine. Mwenge huchangamsha shughuli za maendeleo na kuwapa watu burudani pale unapopita.
Nafikiri wizara husika ianze kutoa somo juu ya mbio hizi kwani kizazi hiki hakina elimu juu ya hii kitu.
Binafsi naona Mwenge uendelee kukimbizwa, ila uwekwe kitaifa zaidi sio kichama wala kijeshi.
Mwenge Oyeee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…