mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,649
Yaani ulikuwa huelewi tu hilo ndugu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani ulikuwa huelewi tu hilo ndugu
Wanakula pesa za serikali kwa shughuli za chama. Ni hatari sana kwa nchi iliyokosa mwelekeo.
Hv rangı ya Nyekundu kwenye bendera ya Chadema ina maana gani?Au ni kwa ni nini Wamasai wanatoboa matobo makubwa kwenye masıkio yao?Kiufupi mwenge ni alama ya Uhuru wa taifa letu.Pıa umoja na mshikamano wa taifa.Umemsıkıa Lowasa akisema chochote kuhusu Mwenge?Km hauoni thamanı ya Mwenge fahamu kuwa haujotosha kukabidhiwa nchi.
Umepungukiwa akili wewe rudi darasani tena
mwenge hauna ishara zozote zaidi ya ushirikina kuleta mabalaa kwenye taifa letu
Wakuu samahani kwa hili jaman naomba kuuliza hvi Mwenge unafaida gani au unasaidia nn katika nchi yetu wakuu maana ukitua sehem na kukesha basi ujue hapo kila vitu vibaya hufanyika. Mfano ulevi, umalaya, wizi na matukio mengine kibao so naomba kuelimishwa zaidi kuhusu hili.
MIMI NI MTANZANIA HALISI NINAE PENDA NCHI YANGU.
Hv rangı ya Nyekundu kwenye bendera ya Chadema ina maana gani?Au ni kwa ni nini Wamasai wanatoboa matobo makubwa kwenye masıkio yao?Kiufupi mwenge ni alama ya Uhuru wa taifa letu.Pıa umoja na mshikamano wa taifa.Umemsıkıa Lowasa akisema chochote kuhusu Mwenge?Km hauoni thamanı ya Mwenge fahamu kuwa haujotosha kukabidhiwa nchi.
Kivipi ni ushetani?
Usiwe na imani ambanzo hazina msingi.
Toa sababu zingine za kupinga mwenge ila ushetani sio sababu ya kuukataa.
Mwenge na mbio zake ni ibada ya mashetani. Mwenge(kukimbiza) mioto imekatazwa katika vitabu vya dini.
Nakubaliana na Faizafoxy kwa kiasi. Mahala popote katika nyakati hizi panapofanyika ibada ikahusisha mioto mara nyingi panahusisha ibada za miungu ama ibada kwa maelekezo ya mafundisho ya wanadamu.
Wakristo hatuna mwenge tuna jina lipitalo majina yote, Yesu Masihi wa Nazareti, BWANA wa bwana, Mfalme wa wafalme; kwake kila goti litapigwa na kila kinywa kitakili. Yeye ndiye NIKO AMBAYE NIKO. Haleluya!
Sasa mbona chekibob wa msoga alikuwa anaenda kuhitimisha mbio zake!? Wenzako ccm wanauabudu na wewe ni mmoja wao. UKAWA tungeshaupeleka makumbusho kitambo. Hapo Kazi Tu ya kukimbiza mwenge mnayo mbona!Hiyo chuki au ukweli? bisha kama si ukweli na ushahidi nimeuweka, ni ibada ya Kikatoliki na Makanisani mwenu haukosi huo mwenge.
Achana na mimi jadili hoja yangu yenye ushahidi na uipinge kwa ushahidi.
Mwenge is a torch and can be worshiped just like that black stone, you know. Some worship ugly Buddha "statue", in contrast, I worship Jesus Christ who is God.Akili yangu inashindwa kukataa ya kwamba kukimbiza Mwenge wa Uhuru kila mwaka sio ibada ya kishetani au kishirikina kwa vile chombo au kifaa hicho (Mwenge) huwashwa moto utoao miali na moshi lakini pia huabudiwa kama vile una uhai,unamulika na kuleta matumaini, upendo , amani, maendeleo na hivyo hutolewa sadaka za kuteketezwa kama kuchinja ng'ombe, wanyama pori na mafuta ya kuteketezwa.
Ibada hizi zilishamiri sana zile za ukomunisti ambapo iliaminika hakuna Mungu na hivyo ungeweza kuabudu chochote au mtu kama vile Wachina walivyoaminishwa kua Mao Tsetung ndiye mungu wao.
Nadhani imefika wakati tujadiliane kuhusu dude hili (Mwenge) na viongozi wa dini mtusaidie kuliepusha taifa na hasira ya Mungu, kwani ukiondoa wapagani, ushirikina umekatazwa katika vitabu vyote vitakatifu, lakini pia Katiba ya JMT inasema Tanzania haina dini ila watu wake wana dini.