Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
umeshaona stature of liberty au Eiffel tower inazungushwa kila nona??Mzeee sio icon ya nchi yetu? Hahahaha
Watafute sehemu moja may be makumbusho, wauweke pale... Yatosha sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeshaona stature of liberty au Eiffel tower inazungushwa kila nona??Mzeee sio icon ya nchi yetu? Hahahaha
Mkuu moshi ule wa mwenge ukikupata lazima upate TB kama kinga za kusua suaTb tena? Hahahaha
Hilo ndo wazo langu alwaysumeshaona stature of liberty au Eiffel tower inazungushwa kila nona??
Watafute sehemu moja may be makumbusho, wauweke pale... Yatosha sasa
inasemekana ni aina fulani ya uchawi , mchawi hawezi kutulia sehemu moja , ni lazima aruke ruke .umeshaona stature of liberty au Eiffel tower inazungushwa kila nona??
Watafute sehemu moja may be makumbusho, wauweke pale... Yatosha sasa
hahahaaaaaaaaaa... kweli JF ni kichuguuuinasemekana ni aina fulani ya uchawi , mchawi hawezi kutulia sehemu moja , ni lazima aruke ruke .
Hahahahahahauchawi wa bagamoyo shimo la kuzimu na ndo chanzo cha shida za watanzania
kwahiyo nchi ambazo hawafukuzi mwenge hawana ushirikianoMwenge unaeneza umoja na ushirikiano
KWANI MWENGE NI SHEREHE?????.Bado Namtakafari..... namtafakari Pombe
Nadhani kunampuangufu fulani anayo anayaona lkn hawezi kuyashughulikia.
1. Alizuia sherehe za uhuru akasema pesa iende kujenga barabara alihasan mwinyi
2. Alizuia sherehe za muungano pesa ikajenge barabara chato
3. Alizuia sherehe za kumbukumbu ya nyerere pesa ikanunue dawa muhimbili na vitanda vya wajawazito
Sasa mmbona hizi sherehe za mwenge zinazotumia muda mwingi kuzurura mitaani kucheza miduariko, kanga moko kigodoro mana hizi ndio sherehe halisi za mwenge na mwisho wake hapo panaposimama mwenge ujue kunamkesha na asubuhi watu wanakazi ya kuokota kondom kibawwo zilizotumika usiku wa mkesha wa mwenge huu. sasa kama sio kuenneza ufuska na kuambukizana magonjwa ya zinaa na ukimwi je hii si hatariii?? Pombe hujaliona hilii? Au wapambe hawajakutonya?
Pombe unauacha mwenge wa ccm uendelee kutuletea maradhi bila sababu na hujafanya maamuzi magumu juu ya mwenge kama ulivyofanya kwa mkurugenzi wa jiji. Na wengineo wengi tu.
Jeee! Hili la mwenge kwanini usilifute kabisa?
Haitakuwa mbaya ukauweka huu mwenge eneo la makumbusho na ubakie ukiwa hapo milele kama makumbusho mengine.
Hii utaokoa vizazi vinavyoumia pindi mwenge unapotia maguu kwenye kata zao.
Pombe waokoe wanawanchi kwa kufuta sherehe za mwenge kama ulivyofuta sherehe nyingine za kitaifa.
Pesa iliyopangwa .UTAAMUA Mwenyewe ukitaka ipeleke chato au uzitumie kujaza madawa hospital.
Ukifanya hivi utaeleweka
Tunaposema "kwa mwendo huu tutafika/hatutafika" tuna maana ya kufika au kutofika wapi? Waasisi wetu ambao wengi wao ni marehemu walifika wapi? Jambo LA msingi kukaza mwendo ktk imani ya YESU KRISTO aliye njia ya kweli na uzima tufike mbinguni kwani hakuna jambo linalodumu chini ya juaMzee,
hapo nimekupata ( tena wewe ni muwazi na huogopi kusema huogopi kukosolewa ) hapo napiga magoti chini, umenimaliza.
Lakini haya mambo yalianza tokea zamani na hawa wanaoendeleza haya mambo tunaweza kusema wamerithi na kwa mw(fani)yako maana tayari ushafika mbali.