Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

Ana watoto?
 
KUNDI NURU KUNDI GIZA
Mafanikio Kutofanikiwa
Afya Magonjwa
Afya ya roho Dhambi
Malaika Mashetani
Furaha Kilio, huzuni
 
Kwa kweli hatuoni akiombea watu wajazwe Roho Mtakatifu.


Roho Mtakatifu aliwa NDANI ya MTU dhambi na magonjwa yanatoweka.
 
Nimesoma nae Tosamaganga, alikuwa na akili sana[emoji16],hasa kwenye utafutaji p3sa
Kwa uzoefu na mtazamo wako, unamuona ana uhalisia kwa anachofanya au ni mwendelezo wa kuzitafuta pesa?
 
Hata mie nilitoka kifungoni na tuhuma zangu kufutwa baada ya maombi na kujipaka mafuta ya mtume wa Mungu Boniface Mwamposa.

Aisifuye mvua imemnyea
Tuhuma zilikuwa za kweli au ulibambikiwa?
 
Kwanini atumie maji na mafuta?. Kwanini asikemee pepo kwa jina la Yesu Kristo. Paulo akasema alitokea mtu anahubiri injili tofauti na hii msimsikilize.
Mkuu, Mbona hivyo ni baadhi tu ya vitu vilivyotumiwa na waasisi wa Kanisa?

Marko 6:7, 12, 13
7 Akawaita wale wanafunzi kumi na wawili akaanza kuwatuma wawili wawili na akawapa mamlaka juu ya pepo wachafu.
12 Kwa hiyo wakatoka, wakaenda wakihubiri kwamba watu wat ubu, waache dhambi.
13 Wakawatoa watu wengi pepo, wakawapaka mafuta wagonjwa wengi, wakawaponya.

Yakobo 5:14​

Mtu wa kwenu amekuwa mgonjwa? Na awaite wazee wa kanisa; nao wamwombee, na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana.
 
Kwa uzoefu na mtazamo wako, unamuona ana uhalisia kwa anachofanya au ni mwendelezo wa kuzitafuta pesa?
Simfatilii sana anafanya nini kwasasa,, ila mtu akitaka kujua ni simple tu,, peleka mlemavu wa mguu halisi, akitembea, then jibu litaonekana🤷🏽‍♂️
 
Reactions: Auz
Yuda alikuwa anatunza pesa za Yesu?
Interesting....naomba kufahamu zaidi
Kazi ya Yuda iskariote ilikua ni kitunza mfuko wa fedha..manake hata kristo alihitaji fedha katika utume wake..tena miaka hiyo ya kupanda punda..je iweje kipindi cha sasa.?

#MaendeleoHayanaChama
 
Mtume mnyakusya,wacha ncheke
Another brainwashed..kaa tulia ulitaka watume watoke mashariki ya kati ndio uwamini..hujui sasa kila aaminiye ataitwa mwana wa ufalme hata atokee kwenu namtumbo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kazi ya Yuda iskariote ilikua ni kitunza mfuko wa fedha..manake hata kristo alihitaji fedha katika utume wake..tena miaka hiyo ya kupanda punda..je iweje kipindi cha sasa.?

#MaendeleoHayanaChama
Yesu hakuwa na kazi,, hela alitoa wapi?
 
Yesu hakuwa na kazi,, hela alitoa wapi?
Unauhakika hakuwa na kazi hujuia alikua mwana wa selemara aliyefanya kazi ya uselemara..hujui wanafunzi wake walikua wavuvi wa samaki.?

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwa kweli hatuoni akiombea watu wajazwe Roho Mtakatifu.


Roho Mtakatifu aliwa NDANI ya MTU dhambi na magonjwa yanatoweka.
Acha kudanganywa watu..roho anakusaidia kushinda dhambi ili kuokoa roho dhidi ya umauti wa milele wala sio njaa na magonjwa ya duniani.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wako kinyume na neno la Mungu (biblia) hakuna sehemu yeyote Ile kwenye biblia mafuta ya upako, maji ya upako n.k yalikua huduma
Uenda uko sahihi,lakini huwezi kufafanua vizuri,hebu jipange alafu tufafanulie vizuri,kidogo nijuavyo ni kuwa miujiza ya Mungu siyo ya kujirudia kwa njia moja kila siku(siyo ya kukariri),kwa hiyo hujui Mungu atatumia njia gani kumfungua mtu,siyo kila siku maji na mafuta no.
 
Kwani Mungu akitumia njia hiyohiyo kila siku na watu wakawa wanafunguliwa atakuwa huyo Mungu katenda dhambi gani?

Kuna upande Mungu kuwa yeye ni yuleyule jana leo na hata milele
 
Hakuna huduma ya zana za upako kwenye biblia, kutegemea maji ya upako, chumvi ya upako au mafuta ya upako badala ya damu ya YESU huna tofauti na mtu anayeabudu sanamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…